Televishini za kiarabu zemesambaza habari za kuanza kuhukumiwa polisi 40 miungoni mwa wafuasi wa Dekteta wa zamani kanali Gaddafi.
Muda mchache uliopita televishini ya Al Arabia wametangaza kuwa wanajeshi 40 miungoni mwa wafuasi wa Gaddafi imenza kusikilizwa kesi yao katika mkoa wa Bin Ghaziy, amma haikuelezwa kilefu cha taarifa hiyo.