| Namba: 323841 | Tarehe: 2012/06/21 - 21:54 | Rejea: | print |
ABNA yaendelea kupiga hatua ABNA ni shirika bora la habari lililoakisi habari za Muamko wa Kiislamu |
Ripoti ya Shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Sayyid Alireza Hussaini A`arif katika sherehe za ufunguzi wa Lugha ya Myanmar na kuwa Lugha ya 18 katika shirika hilo, Lugha na usangazaji wa habari wa ABNA ni kutaka kuonyesha Ulimwengu nini kinachoendelea kwa dhuluma wanayofanyiwa Mashia Duniani hasa katika Nchi ya Pakistani, kutokana na dhuluma hiyo Sayyid Hussaini A`arif alisema: Dhuluma inayofanyika Pakistani ipo wazi na hili la pelekea Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) kueleza watu nini kinachofanyika Duniani.
Akiendelea kusema: Kipindi ambacho Pakistani ilikuwa ikikoloniwa na Uingereza yalikuwa yakifanyika mambo mabaya hasa katika sehemu wanazoishi Mashia na hakuna aliethubutu kusema nini wanachofanyiwa Mashia hao.
Aidha aliashiria kuwa; Nchi ya Gambia ilitangaza rasmi kuwa Madhehebu ya Shia ni maramu katika Nchi hiyo na kueleza kuwa mwenye kutangaza Ushia yupo kiyume na sheria ya Nchi, kutokana na tukio hilo ABNA pekee ndio ilifahamu na kujitahidi kuagiza pesa kificho kwa Mashia kutia moja ya Benki ya Nchi hiyo, ila baada ya kufahamika kuwa shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- la wasaidia Masshia hao walifunga njia hiyo, na hali ya Mashia wa nchi hiyo ikawa mbaya siku hadi siku.
Akimalizia kusema: ABNA sasa habari zake hutarjumiwa na Lugha 18 za Dunia na hii ni ishara ya mafaanikio ya shirika hili na kupiga hatua kubgwa katika kuzagaza mafunzo mema ya Ahlul Bayt(as).