Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Matokeo ya uchaguzi ya nchini Misri yanajulikana na haturuhusu mtu yoyote kuchakachua matukio hayo
Namba: 324072 Tarehe: 2012/06/22 - 23:12Rejea: abnaprint

Afrika
Matokeo ya uchaguzi ya nchini Misri yanajulikana na haturuhusu mtu yoyote kuchakachua matukio hayo

Mgombea wa Ikhwanul Muslimin nchini Misri(Muhammad Mursiy) ambae amejitambulisha kuwa yeey ndiye mshindi wa uchaguzi huo, kwa mara nyengine amesisitiza ushindi wake nakusema matokeo ya uchaguzi huo yanajulikana na hatutaruhu kuchakachuliwa. 

 Matokeo ya uchaguzi ya nchini Misri yanajulikana na haturuhusu mtu yoyote kuchakachua matukio hayo
Mgombea wa Ikhwanul Muslimin nchini Misri(Muhammad Mursiy) ambae amejitambulisha kuwa yeey ndiye mshindi wa uchaguzi huo, kwa mara nyengine amesisitiza ushindi wake nakusema matokeo ya uchaguzi huo yanajulikana na hatutaruhu kuchakachuliwa
Mirsiy alisema kuwa mipango wanayopanga utawala wa kijeshi nchini humo haikubaliki, na kamwe haitakubaliwa taklifu na desturi yoyote kwa Rais aliechaguliwa na wananchi kwani Rais huyo atakuwa mwenyekujitegemea na yoyote ana haki yakumpatia Dasturi na maamrisho.
 
 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani