Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Rais wa Jamhuri ya Misri atoa msamaha kwa wafungwa 572 walohukumiwa na utawala ulopita
Namba: 330529 Tarehe: 2012/07/21 - 12:11Rejea: abnaprint

Afrika
Rais wa Jamhuri ya Misri atoa msamaha kwa wafungwa 572 walohukumiwa na utawala ulopita

Muhammad Mursiy Rais wa Jamhuri ya Misri ametoa hukumu ya kuwasamehe wafungwa 572 waliohukumiwa katika utawala wa kijeshi ulopita

 

 Rais wa Jamhuri ya Misri atoa msamaha kwa wafungwa 572 walohukumiwa na utawala ulopita

Aidha Rais huyo ametoa amri ya kuandaa kama itakayo chunguza na kufuatilia wafungwa walohukumiwa na utawala wa kijeshi toka mwanzo wa mapinduzi ya nchi hiyo mpaka kipindi cha urais wa Muhammad Mursiy. Utawala huo wa kijeshi uliwahukumu kifungo wananchi wapatao 1187 kutoka mwanzo wa mapinduzi mpaka kuingia madarakani kwa Rais Muhammad Mursiy, wafungwa 9714 mpaka sasa wameachiwa huru na wengineo wafanyiwa uchunguzi ili kupata uvumbuzi wao.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani