| Namba: 330979 | Tarehe: 2012/07/23 - 01:48 | Rejea: ABNA.ir | print |
Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Dakika kadhaa zilopita alishikwa Mhabi mmoja alotaka kuripua Haram ya Sayyidat Zainab(as) na lango lake lilikuwa ni kuingia katika Haram ya Sayyidat Zainab(as).
Jeshi la Syria limeeleza kuwa Vijiji vitatu vimeshasafishwa na kufukuza Mawahabi wote wanaojiripua kwa madai ya kwenda Peponi.
La kustaajabisha ni kwamba wanaodaiwa kuwa ni wanamapinduzi siku zilopita waliazimia kuvunja Haram ya Sayyidat Zainab(as) ila Jeshi la Syria halikuruhusu kufanyika kitendo hicho walifukuza waasi wote katika eneo tukufu la Zainabiya Syria.
Vyombo vya habari vya Kiwahabi vya hamasisha watu kuvunja na kuwapa watu hao Mabilioni ya Pesa ili wafikie katika malengo yao, aidha kundi la Mawahabi watowa msada kwa Waasi wa Syria lengo lao ni kuleta ugonvi na Vita ya Makabila Nchini humo.