Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Waislamu wa Myanmar wahitaji misada+ Picha
Namba: 331435 Tarehe: 2012/07/24 - 17:50Rejea: ABNA.irprint

Kosa gani wanalo Waislamu!!!
Waislamu wa Myanmar wahitaji misada+ Picha

Sanduku la kusaidia watu la Uturuki IHH limetoa ripoti ya kuwa Waislamu wa Myanmar wahitaji misada kwani hali walokuwa na ni mbaya.

 

 Waislamu wa Myanmar wahitaji misada+ Picha

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Sanduku la kusaidia watu la Uturuki IHH limeeleza kuwa Waislamu wa Myanmar  wamekabiliwa na hali ngumu kwani Nchi ya Myanamar kwa kila Muislamu huchukua kodi na kila atakae zaliwa pia ni lazima alipiwe kodi, wakimaanisha kuwa Waislamu wa Myanmar si Raiya wa Nchi hiyo kudai kuwa wao ni wahamiaji kutoka Nchi ya Bangladesh.

Aidha Nchi ya Myanmar ilisema kuwa Waislamu wa Nchi hiyo hawana haki ya kumiliki Ardhi, na mwenye kumiliki Ardhi huchukuliwa Ardhi yake kwa nguvu na hana haki ya kulima wala kufanya kazi, Waislamu hao hawana haki ya kusafiri kwenda Mkoa mwengnine na wanaotaka kusafiri lazima walipe kodi.

Aidha Waislamu wanaotaka kumiliki Duka lazima wamshirikishe Buda bila kutoa aina wowote ya hisa katika Duka hilo na faida itakayopatikana itagawanywa kwa kila mmoja  50%.

Pia moja kati ya unyama unaofanywa dhidi ya Waislamu wa Myanmar ni kwamba kila mwenye kutaka kuowa awajibika kuomba ruhusa lasivyo adhabu kali yamsubiri.  

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani