Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Tende za Israel kupigwa marufuku Uingereza
Namba: 332080 Tarehe: 2012/07/26 - 22:18Rejea: ABNA.irprint

Mazayuni wateketezwa
Tende za Israel kupigwa marufuku Uingereza

Vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Israel, baadhi ya Nchi za Ulaya kuzuiya bidhaa za Israel, na miongoni mwa Nchi hizo ni Uigereza, Uingereza imepiga marufuku kuingiza bidhaa ya Tende za Israel Nchini humo.

 

 Tende za Israel kupigwa marufuku Uingereza

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt (as)-ABNA- Inaeleza kuwa; Baadhi ya Taasisi za Kiisrael Nchini Uingereza zimeomba Nchi za Ulaya  kuiwekea Israel vikwazo vya kiuchumi kama walivyo zuiya Tende za Israel kuingizwa Uingereza, lengo maombi hayo ni kwa kile walichoeleza kuwa; Nchi ya Israel ya jenga Majumba katika Ardhi ya Palestina kwa nguvu na ujengaji huo upo kinyume ya Sheria na kanuni za Kimataifa.

Vikundi na Taasisi hizo zimetaka Nchi za Ulaya  na Taasisi tufauti kuungana nao kwa kuiwekea vikwazo Israel na kutaka Waislamu kujiunga na Taasisi hizo kuto nunua bidhaa aina yoyote ya Israel.

Aidha kabla ya hapo bidhaa za Israel zilipigwa marufuku katika baadhi ya Maduka ya Ulaya.

Kufika Mwezi wa Mtukufu wa Ramadhani Israel iliongeza idadi ya uzalishaji na uagizaji wa Tende katika Bara la Ulaya kwani Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Waislamu hutumia Tende zaidi kuliko Miezi mingine,  kwa sababu hiyo Israel iliongeza Idadi ya uagizaji wa Tende Barani mara Kumi kwa kutaka faida zaidi ila Waislamu na baadhi ya Nchi za Ulaya  ziligundua hilo na kupinga uagizaji wa Tende kiholela holela.

La kuzingatia ni kwamba Nchi ya Israel kwa Mwaka huzalisha Tani 100 na 15% huagizwa Bara la Ulaya.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani