| Namba: 332370 | Tarehe: 2012/07/28 - 05:09 | Rejea: ABNA.ir | print |
Jamuhuri ya Kiislamu ya Irani kusonga mbele kiteknolojia Jeshi la Marekani lakata tamaa baada ya Iran kuongeza Manowari za kivita kudhibiti Ghuba ya Uajemi |
Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Gazeti la Washington Post limeeza kuwa;Irani sasa imesonga mbele katika ulinzi kwa kuimarisha na kuongeza idada za Manywari za kivita katika Persian Gulf ili kudhibiti Jeshi la Marekani na hilo ni tishio kwa Jeshi la Marekani ukizingatia kambi kuu ya Marekani Mashariki ya kati ipo Bahrain.
Ripoti hiyo umeonyesha ni kiasi gani Marekani ipo hatarini kwa silaha ilizojaribusha Irani katika Persian Gulf.
Aidha ripoti hiyo yaonyesha kuwa kauli ya Israel kuvamia Irani ni maneno kwani Israel ikithubutu kufanya hivyo ni hatari kwa Wananchi wa Israel kulingana na silaha za masafa marefu zinazomilikiwa na Jamuhuri ya Kiislamu ya Irani.
Mwanasiasa wa Kimarekani kulingana na ripoti ya Gazeti la Washington Post alisema:Nna yakini Israel haina uwezo wa kuivamia Irani ni kusubiri nini kitachotokea Nchini humo, kama kujichoma moto Waisrael ni ishara kuonyesha kuwa Waisrael wameamka na wahitaji mabadiliko.