Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Kwanini Mayahudi waogopa Hizbullah Lebanon?!
Namba: 332620 Tarehe: 2012/07/28 - 23:06Rejea: ABNA.irprint

Kwanini Mayahudi waogopa Hizbullah Lebanon?!

Gazeti la Lebanon Al-Akhbar limetaja sababu za uwoga wa Waisrael kuiogopa Hizbullah ni kufeli njama za Nchi za Kimagharibi dhidi ya Lebanon hasa Hizbullah.

 

 Kwanini Mayahudi waogopa Hizbullah Lebanon?!

Ripoti ya shrika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Ibrahim Al-Amin mchambuzi wa Gazeti la Al-Akhbar la Lebanon  alisema:Tuhuma za Isreal dhidi ya Hizbullah  kuwa kuripuliwa Basi la Waisrael Bulbaria ni njama za Hizbullah na Jamuhuri ya Kiislamu ya Irani, na Hizbullah wasaidiwa na Iran ili kuendeleza Ugaidi Duniani.

Sababu za uwoga za Waisrael ni:

1-Kufahamu fika kuwa Hizbullah lazima italipiza kisasi kwa kuuliwa Imad Mughniah

Suala hili la washughulisha sana Viongozi wa Israel kila siku huku kujiuliza lini Hizbullah italipiza kisasi na kuwa makini katika kazi zao kwa kuogopa Hizbullah isilipize kisasi.

2-Kuogopa hali Syria isiwe kwa maslahi ya Hizbullah

Hali mbaya ya Syria ambayo ya sababishwa na Umoja wa Waarabu wakishirikiana na Marekani na Israel kuwapa Waasi wa Nchi hiyo silaha ili kuteketeza utawala wa Syria kwa kuwa utawala wa Syria waunga Hizbullah mkono, aidha hofu ya Israel ni kwamba mgogoro wa Syria ukitatuliwa bila kuondoka Rais wa Syria Bashar Al-Asad hakuto kuwa amani Israel kwa janga linalokuja hapo karibuni.

3- Kuogopa Tel Aviv silaha za masafa marefu za Hizbullah

Silaha za masafa marefu za Hizbullah za wahofisha Waisrael kwa kuogopa muda na saa yoyote waweza kuvamiwa na Hizbullah na hii ni hatari kwa Wananchi Tel Aviv na ndio maana Waisrael wajichoma moto kwa kupinga siasa ya Tel Aviv kwa kuingilia matatizo ya Nchi zengine.

4- Kufeli njama za Tel Aviv dhidi ya Hizbullah

Kufeli njama za Tel Aviv ni pigo kubwa kwa Nchi ya Israel kwani kila njia watumia ili kutambua nini cha jiri ndani ya Hizbullah washindwa na kujikuta wagonga ukutani.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani