| Namba: 334335 | Tarehe: 2012/08/04 - 18:07 | Rejea: IRNA | print |
Kiongozi mmoja wa dini nchini Nigeria anausurika kuuwawa katika mlipoko wa kigaidi |
Kutokana na mripoko huo uliotokea siku ya ijumaa katika mkoa wa butiskom mashariki mwa nchi hiyo, ambapo ilisababisha baadhi ya watu kujeruhiwa, mmoja katii ya watu waloshuhudia tukio hilo amesema mtu mmoja mwenye umri wa miaka 40 aliyekuwa akimfuatilia kiongozi huyo alionekana akimsogelea, ama walokuwa katika sehemu hiyo walimzunguka bwana huyo nakutoweza kumkaribia, katika hali hiyo bwana huyo akatoa bomu alokuwa amelificha katika nguo yake.
Watu watatu wameripotiwa kujeruhiwa katika tukio hilo akiwemo mlinzi wa kiongozi huyo na muhudumu wa msikiti na raiya mwengine mmoja
Inasemekana kuwa tukio hilo limetokea baada ya waumini kuanza kutawanyika katika msikiti huo baada ya kumaliza ibada ya ijumaa. mpaka sasa alohusika na tukio hilo hajafahamika.