| Namba: 334608 | Tarehe: 2012/08/05 - 19:20 | Rejea: abna.ir | print |
Kuzidi 80% ya ubakaji wa kijinsia katika Jeshi la Israel |
Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bay(as)-ABNA- Gazeti la Kiyahudi Times limeeleza: Kuzidi mashitaka na kesi tofauti za ubakaji imezidi, ikielezwa kuwa Mwaka 2007 zililetwa ripoti na mashitaka kuhusu ubakaji katika Jeshi la Israel na tathmini rasmi yaonyesha kuwa vitendo hivyo vya ubakaji vimezidi kwa 80% kwa Mwaka huu.
Kutokana na ripoti hiyo, kesi za ubakaji katika Jeshi la Nchi hiyo kuelezwa kuwa; katika mwaka 2011 zililetwa faili 144 za watuhumiwa wa vitendo hivyo, na katika Mwaka 2007 idadi ya ilikuwa ni ndogo ila tu kufikia mwaka 2011 iliongezeka idadi ya mashitaka kufikia 583, na idadi mashitaka hadi sasa yatishia Viongezi wa Nchi ya Israel.
Aidha mwaka 2010 kuliletwa faili 483 mahsusi kwa vitendo vya mwaka 2010, la kustaajabisha ni kwamba tathmini ya mwaka 2012 hijatilewa kwa kuongopa kushitakiwa na Umoja wa Kimataifa.
Jeshi la Israel ni moja kati ya majeshi ya makubwa na yenye nguvu Duniani ila tu mambo wanayofanyiwa Wanawake katika Jeshi hilo imeshusha hadhi ya Jeshi hilo na kuonyesha kuwa hakuna Demokrasia katika Nchi hiyo.