| Namba: 299631 | Tarehe: 1390/00/00 - 00:00 | Rejea: abna.ir | print |
Hatari ya Mawahabi katika jamii Gazeti la Tunisia la mkosoa Mwanazuoni wa Kiwahabi |
Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Gazeti la Tunisia Al Haqiqah lilkosoa vikali maneno ya upuuzi na ya mtafaruku ya Sheikh wa Kiwahabi Muhammad Al Arifiy.
Gazeti hili lilieleza kuwa; Mufti wa Saudia kutoa Fatwa za Kishetani na zamtafaruku na fitina kwa Umma wa Kiislamu, inachekesha kwa Mwanazuoni kuongea na kutoa Fatwa kama hii ya kuharamisha kukaa Baba na Mtoto wake wa Kike Chumba kimoja pekee au Baba kumbusu Mtoto wake wa Kike au kulala katika Chumba kimoja.
Sheikh huyu Maarufu wa Kiwahabi Muhammad Al Arifiy si mara ya kwanza kuongea na kutoa Fatwa kama hizi imekuwa ni kama ada kwake kuleta fitina kwa Uislamu.