Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Rais wa Somalia almanusura kufa
Namba: 318800 Tarehe: 2012/05/30 - 19:43Rejea: print

Afrika
Rais wa Somalia almanusura kufa

ABNA inatuarifu kuwa:Rais wa Somalia Bw: Sharif Sheikh Ahmed amenusurika kufa baada ya msafara wake kushambuliwa vikali nje kidogo ya mji wa Mogadishu. 

 Rais wa Somalia almanusura kufa
kundi la Alshabaab limetangaza bayana kuhusika na mashambulizi ya msafara huo,ambapo jeshi la Umoja wa Afrika ndio  lililochukua jukumu la kukabiliana na wanamgambo wa Alshabab na haatimaye kumuokoa rais wa nchi hiyo na athari za mashaambulizi za wanamgambo hao. 
 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani