Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Hosni Mubarak ahukumiwa kifungo cha maisha
Namba: 319442 Tarehe: 2012/06/02 - 19:35Rejea: CRIprint

Hosni Mubarak ahukumiwa kifungo cha maisha

Jaji mkuu wa Mahakama ya makosa ya jinai ya Cairo Bw. Ahmed Refaat ametangaza kuwa, rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak, pamoja na aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Bw. Habib Adli wamehukumiwa kifungo cha maisha, huku waliokuwa maofisa sita wa polisi wa ngazi ya juu wakikutwa hawana hatia. 

 Hosni Mubarak ahukumiwa kifungo cha maisha

Kituo cha televisheni cha taifa cha nchi hiyo kilitangaza hukumu
hiyo moja kwa moja. Watu elfu kadhaa wakiwemo wafuasi wa Bw. Mubaraka pamoja na
watu wanaompinga walijumuika nje ya mahakama hiyo. Serikali ya Misri ilituma
askari polisi zaidi ya elfu saba ndani na nje ya mahakama ili kulinda usalama.





 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani