Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Makasisi 5 wakamatwa nchini Nigeria kwa tuhuma ya kufanya biashsra ya watoto
Namba: 322995 Tarehe: 2012/06/18 - 11:47Rejea: abnaprint

Makasisi 5 wakamatwa nchini Nigeria kwa tuhuma ya kufanya biashsra ya watoto

Moja kati ya magazeti ya Nigeria kuwa jeshi la Polisi nchini humo limewakamata makasisi watano kwa tuhuma ya kufanya kununua watoto. 

 Makasisi 5 wakamatwa nchini Nigeria kwa tuhuma ya kufanya biashsra ya watoto
Gazeti hilo limeeleza kuwa watu watatu kati ya watuhumiwa hao wamekamatwa katika mkoa wa kanu kaskazini mwa Nigeria, hali ya kua wengini wawili wamekamatwa mkoani banyu mashariki mwa nchi hiyo, huku likiashiria gazeti hilo kuwa watuhumiwa hao walikuwa wakifanya juhudi kuwakinaisha akina mama kuuza watoto wao ili kuboresha maisha yao na kupata maisha mazuri
     Na imeelezwa kuwa mmoja kati ya watuhumiwa alifanikiwa kununua mototo mmoja mwenye  umri wa miezi 8 kwa pesa yenye thamani ya zaidi ya 1000 Dola za kimarekani, na baadae habari hizo zilifika kituo cha Polisi na kupelekea kukamatwa watuhumiwa hao. 
 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani