Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



ABNA ni shirika bora la habari lililoakisi habari za Muamko wa Kiislamu
Namba: 323841 Tarehe: 2012/06/21 - 21:54Rejea: print

ABNA yaendelea kupiga hatua
ABNA ni shirika bora la habari lililoakisi habari za Muamko wa Kiislamu

Kiongozi Mkuu wa shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- amesema: ABNA ni shirika bora la habari liloakisi habari za Muamko wa Kiislamu, na ubora huu umethitiwa na mashirika mengi ya habari ndani ya Iran. 

 ABNA ni shirika bora la habari lililoakisi habari za Muamko wa Kiislamu

Ripoti ya Shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Sayyid Alireza Hussaini A`arif katika sherehe za ufunguzi wa Lugha ya Myanmar na kuwa Lugha ya 18 katika shirika hilo, Lugha na usangazaji wa habari wa ABNA ni kutaka kuonyesha Ulimwengu nini kinachoendelea kwa dhuluma wanayofanyiwa Mashia Duniani hasa katika Nchi ya Pakistani, kutokana na dhuluma hiyo Sayyid Hussaini A`arif alisema: Dhuluma inayofanyika Pakistani ipo wazi na hili la pelekea Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) kueleza watu nini kinachofanyika Duniani.

Akiendelea kusema: Kipindi ambacho Pakistani ilikuwa ikikoloniwa na Uingereza yalikuwa yakifanyika mambo mabaya hasa katika sehemu wanazoishi Mashia na hakuna aliethubutu kusema nini wanachofanyiwa Mashia hao.

Aidha aliashiria kuwa;  Nchi ya Gambia ilitangaza rasmi kuwa Madhehebu ya Shia ni maramu katika Nchi hiyo na kueleza kuwa mwenye kutangaza Ushia yupo kiyume na sheria ya Nchi, kutokana na tukio hilo ABNA  pekee ndio ilifahamu na kujitahidi kuagiza pesa kificho kwa Mashia kutia moja ya Benki ya Nchi hiyo, ila baada ya kufahamika kuwa shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- la wasaidia Masshia hao walifunga njia hiyo, na hali ya Mashia wa nchi hiyo ikawa mbaya siku hadi siku.

Akimalizia kusema: ABNA sasa habari zake hutarjumiwa na Lugha 18 za Dunia na hii ni ishara ya mafaanikio ya shirika hili na kupiga hatua kubgwa katika kuzagaza mafunzo mema ya Ahlul Bayt(as).

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani