Mgombea wa Ikhwanul Muslimin nchini Misri(Muhammad Mursiy) ambae amejitambulisha kuwa yeey ndiye mshindi wa uchaguzi huo, kwa mara nyengine amesisitiza ushindi wake nakusema matokeo ya uchaguzi huo yanajulikana na hatutaruhu kuchakachuliwa
Mirsiy alisema kuwa mipango wanayopanga utawala wa kijeshi nchini humo haikubaliki, na kamwe haitakubaliwa taklifu na desturi yoyote kwa Rais aliechaguliwa na wananchi kwani Rais huyo atakuwa mwenyekujitegemea na yoyote ana haki yakumpatia Dasturi na maamrisho.