Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Mursi kuteua Waziri Mkuu
Namba: 331438 Tarehe: 2012/07/24 - 18:01Rejea: CRIprint

Mursi kuteua Waziri Mkuu

Rais Mohamed Morsi wa Misri leo amemteua waziri wa maliasili ya maji na umwagiliaji Bw. Hesham Qandil kuwa waziri mkuu mpya. 

 Mursi kuteua Waziri Mkuu

Habari zinasema, rais Mursi amemtaka Bw. Qindil aunde serikali mpya mapema iwezekanavyo, na baadaye wafanye mkutano siku hiyohiyo.
Bw. Qindil aliteuliwa kuwa waziri wa maliasili ya maji na umwagiliaji mwezi Julai mwaka jana na waziri mkuu wa wakati ule Bw. Essam Sharaf alijiuzulu Novemba mwaka jana.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani