Waziri wa mambo ya nje ya nchi wa Cyprus Erato Kozakou-Marcoullis ambaye
nchi yake ndiyo inayoshikilia hatamu ya urais wa nchi za jumiya ya Ulaya alisema
"kwa sasa hakuna muafaka wa kuliunganisha kundi la Hizbullah katika urodha ya makundi ya
makundi ya kigaidi."
ombi hilo la utawala dhaifu wa Israel umekuja baada ya utawala huo kushindwa kulikabiliana na kundi hili na hatimaye kutumia njia hii kuliangamiza kundi hili linalotetea haki za wananchi wa Lebanon.