Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Utulivu hakuna Bahrain katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Namba: 331741 Tarehe: 2012/07/25 - 18:46Rejea: ABNA.irprint

Muamko wa Kiislamu
Utulivu hakuna Bahrain katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Mmoja katika ya watetezi wa haki za Binadamu Bahrain alisema kuwa; Mwezi wa Ramadhani hakutokua na utulivu kulingana na mamia ya watu kuandamana Nchini Bahrain na utawala wa Kifalme wa Nchi hiyo hautokua na amani na utulivu kama Ramadhani ilopita. 

 Utulivu hakuna Bahrain katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Yusuf Al Muhafidha mmoja kati ya watetezi wa haki za Binadamu Nchini Bahrain alisema: Siku ilopita mamia ya watu wa Bahrain waliandamana na kufunga barabara kuu za Nchi hiyo.

Akiendelea kusema: Maandamano ya Bahrain ni ishara ya kuonyesha kuwa Wananchi wa Nchi hiyo hasa Mashia hawapewi haki zao,  na kuonyesha kuwa Mwezi huu wa Ramadhani utakuwa ni pigo kubwa kwa Utawala wa Nchi hiyo na utulivu ulokuwa Nchini humo sasa hautokwepo.

Mtetezi wa haki huyo alisema pia; Maandamano ya Bahrain ni ya amani na lengo la maandamano hayo ni kutaka wakamilishewe mahitaji yao na ni lazima Mwezi huu wa Ramadhani wa kubaliwe maombi yao, kama hawato kamilishiwa mahitaji hayo Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani utakua adhabu kwa utawala wa Alikhalifa.

Aidha alimazia kwa kusema: Utawala wa Kifalme wa Bahrain umedai kuwa urushaji Puto katika maandamano ni marufuku kwani Puto hutumiwa katika masuala ya Kijasusi, aidha utawala huo ulidai kuwa urushaji Puto ni uchafuaji wa mazingira na hairuhusiwi kurusha Puto.

 




Barua pepe:
Jina:
Ujumbe:
Enter security code
erfan
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani