![]() |
Haki ya Jamii Swala ya shukrani kuhitimishwa uvamizi wa Marekani huko Iraq Waislamu katika nchi kadhaa ikiwemo Iraq, Lebanon na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana walitekeleza swala ya shukrani wakimshukuru Allah kwa kuhitimishwa uvamizi wa Marekani nchini Iraq.
|
![]() |
Jamii na uadilifu Uadilifu ni muhimu kwa kijamii Waandamanaji wamefanya maandamano katika miji 950 katika nchi 82 za dunia na kutaka kutekelezwa uadilifu wa kijamii na kupambana na mfumo wa ubepari duniani.
|
![]() |
Haki za Binadamu Kuanza kujadiliwa ombi la Palestina katika Umoja wa Mataifa Jumatatu ya jana tarehe 26 Septemba, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilianza kujadili ombi la Serikali ya Ndani ya Palestina la kutaka kutambuliwa rasmi nchi huru ya Palestina katika Umoja wa Mataifa kwa mujibu wa mipaka ya mwaka 1967.
|
![]() |
Uislamu na Jamii Mafundisho ya Kiislamu yanasaidia kuimarisha haki za binadamu Uzingatiwaji wa mafundisho ya Kiislamu kuhusiana na masuala kama vile utukufu wa mwandamu, uhuru, usawa, uadilifu, ihsani, uwajibikaji na utu ni jambo ambalo linasaidia katika kuimarisha haki za binadamu duniani.
|
![]() |
Palestina OIC yalaani uteketezwaji wa msikiti katika Ukingo wa Magharibi Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) jana Jumatatu ilitoa taarifa ikilaani uteketezwaji wa msikiti mmoja huko katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan uliofanywa na walowezi wa Kizayuni wanaoishi katika eneo hilo.
|
![]() |
Yemen Matukio ya hivi karibuni nchini Yemen Matukio ya hivi karibuni nchini Yemen yanahusiana na kuendelea ukandamizaji wa raia unaofanywa na vikosi vya serikali na radiamali kali ya wananchi kuhusiana, kuundwa baraza jipa la mapinduzi na matamshi ya siku ya Jumanne yaliyotolewa na dikteta wa nchi hiyo Ali Abdullah Saleh.
|
![]() |
Wapalestina: Marekani inafanya njama za kukwamisha kutambuliwa Palestina Viongozi wa Palestina wanasema kuwa, Marekani imeongeza kasi katika njama na mipango yake ya kuzuia kutambuliwa rasmi Palestina katika Umoja wa Mataifa.
|
![]() |
Wanasheria wa Saudia walaani sheria inayowakandamiza wapinzani |
![]() |
Umuhimu wa elimu katika Uislamu |
![]() |
Usalama wa chakula, changamoto ya kimataifa Wanachama wa kundi la kiuchumi la G20 wameafikiana katika kikao chao huko Paris mji mkuu wa Ufaransa kuhusiana na udharura wa kudhaminiwa mpango wa usalama wa chakula duniani.
|