![]() |
Jamii Kwa baraka za Ayatullah Musawi Ardebili Mama wa Kijapani kuwa Shia+picha Mwanafunzi wa Japani kukubali Uislamu baada ya kusoma kwa muda mrefu kwa njia ya Internet kaathirika na kuelekezwa na aliekuwa rafiki wa Ayatullah Musawi Ardebili miaka 15 ilopit, na baada ya kutowa shahada mbili kawa Muislamu rasmi.
|
![]() |
Wanawake na jamii Wanawake Saudia Arabia kupewa shoti ya umeme na sprey ya pilipili Wanawake wa Saudia Arabia baada ya adhia ya muda mrefu sasa wapewa silaha mpya, kutembea na Shoti ya umeme na Sprey ya Pilipli kudhibiti adhia ya hapa na pale ya vijana mitaani.
|
![]() |
Mafunzo ya jamii Watoto kila siku waaga dunia sababu ya maji yasio salama |
![]() |
Uislamu na jamii KUMFUNZA MTOTO KUMJUA MWENYEZI MUNGU |
![]() |
Wanawake na Jamii Kufukuzwa Mwanamke wa Kiislamu Uhispania kwa kosa la kuvaa Hijabu Magazeti ya Uhispania yameripoti kuwa, shule moja mjini Madrid imemfukuza katika chumba cha mtihani mwanafunzi mmoja wa Kiislamu baada ya mwanafunzi huyo kukataa kuvua vazi lake la staha la Hijabu.
|
![]() |
Watoto na Jamii Kuwapa watoto majina mazuri, kuwafunza Qur’ani ni jukumu la wazazi Imam Ali AS amesema: ‘Kina baba wana jukumu la kuwapa watoto majina yanayofaa, kuwalea vizuri na kuwafunza Qur’ani.’
|
![]() |
Walimu wa Azerbaijan wazuiwa kuvaa hijabu Walimu wanaovaa vaa la stara la hijabu huko Azerbaijan wamezuiwa kuingia madarasani wakiwa na vazi hilo la Kiislamu kama walivyopigwa marufuku wanafunzi wa nchi hiyo.
|
![]() |
Ayatullah Khamenei: Wanawake ndio Jamii |
![]() |
Ayatullh Khamenei:Utukufu na Thamani Aali za Mwanamke wa Kiislamu |
![]() |
Ayatullah Khamenei: Thamani ya Mwanamke katika Uislamu |
![]() |
Shakhsia ya Kijamii ya Wanawake |
![]() |
Ufaransa inapaswa kutazama upya marufuku ya hijabu |
![]() |
Usafi na Utunzaji wa Meno ya Watoto |
![]() |
ATHARI ZA VITA KWA WATOTO |
![]() |
Iran kufungua mashtaka dhidi ya FIFA kwa kupiga marufuku hijabu Timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema inapanga kumfungulia mashtaka ofisa wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA aliyeipiga marufuku timu hiyo kushiriki mchuano wake dhidi ya Jordan wa kufuzu Mashindano ya Olimpiki ya London mwakani.
|