Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Uwahabi
- Uwahabi



Huu ndio Uwahabi
Mufti wa Kiwahabi: Uchaguzi ni haramu
Mmoja kati ya mamufti maarufu wa Kiwahabi aliharamisha mfumo wa uchaguzi kwa ajili kuchagua Rais, Waziri na Mbunge, Na kila aina ya uchaguzi wa serikali ni haramu kwa mujibu wa sheria ya Kiislamu.

2013/02/01  21:38

Uwahabi ni hatari
Sheikh wa Kisalafi: Kuongelea umoja na Wakristo ni kufuru
Sheikh wa Kisalafi nchini Misri na mwalimu wa Chuo Kikuu cha Al-Azhar alieleza kua; kuongelea umoja baina ya Waislamu na Wakristo ni fikira potovu, Na kila aina maongezi ya umoja baina ya makundi haya mawili ni kufuru, Aidha alituhumu kila mwenye kuongelea suala hilo kua ni kafiri!!.

2013/01/21  23:11

Fahamu Uwahabi
HADITHI WANAZOTEGEMEA MAWAHABI

2012/11/11  18:28

Uwahabi
MTAZAMO WA QUR'AN KTK KUJENGA JUU YA MAKABURI

2012/11/07  23:06

Fahamu kundi la Kiwahabi
Fatwa mbovu nyengine ya Mufti wa Saudia
Mufti wa Ali Saudi kafumbia macho yanayojiri Ulimwenguni kutoa Fatwa mbovu na kutojali fitina za Wamaghari na Maadui wa Uislam, kutoa Fatwa ya mahusiano ya Mume na Mke.

2012/10/02  11:14

Wahabi ni nani?!
Msimamizi wa Televisheni ya Wesal ya Kiwahabi asujudu kwa kushikwa Ayatullah Namr
Televisheni ya Wesal ya Kiwahabi na Tovuti zao wameonyesha kufurahi kwa kushikwa Ayatullah Sheikh Namr, na siku hiyo kuwa kwao Idi.

2012/07/11  19:22

Fahamu Uwahabi
Sababu ya matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu ni Muawiyah na Abu Sufiani
Mwazuoni mmoja wa Kisunni aliweka wazi kuwa matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu chanzo chake ni Muawiyah na Baba yake Abu Sufiani.

2012/04/03  18:24

Fahamu Uwahabi
Toba baada ya kumtukana Mtume(saw)
Muhammad Al arify mmoja kati ya jopo la Maulamaa wa Saudia Arabia aliomba msamaha baada ya kuongea maneno ya kumdhalililsha Mtukufu Mtume Muhammad(saw).

2012/04/03  18:19

Hatari ya Mawahabi katika jamii
Gazeti la Tunisia la mkosoa Mwanazuoni wa Kiwahabi
Gazeti la Tunisia lilipinga vikali maneno ya mtafaruku ya Mwanazuoni wa Kiwahabi wa Saudia Arabia, kuharamisha kukaa Baba na Mtoto wake wa Kike au kalala Chumba kimoja au kumbusu.

1390/00/00  2:42

Sheikh mmoja wa Kiwahabi amtukana Mtume(saw)
Mwandishi mmoja wa Kiwahabi baada ya kumdhalilisha na kumtukana Mtume(saw) vyombo vya habari vya waarabu vilimuita kuwa ni “Salman Rushdiy wa Saudia Arabia”

1390/00/00  22:03

Uwahabai na jamii
Mufti wa Saudia Arabia apinga Shairi Maarufu la kiislamu
Mufti wa kiwahabi wa Saudia Arabia alipnga shairi maarufu la watu wa Yathriba(Madinah) pindi walipoenda kumpokea Mtume Muhammad(saw).

1390/00/00  20:03

Mawahabi ni hatari kwa Jamii
Kuhami wazi wazi Mfalme wa Qatar kundi la Kiwahabi
Mfalme wa Qatar alidai kuwa Ulimwengu wa kiislamu unahitaji Fikra na mwenendo wa kiwahabi.

1390/00/00  2:44

Uwahabi na Siasa
Mawahabi wa Saudia kumpa Saadi Gaddafi Himaya
Mwana wa dikteta wa zamani wa Libya Saadi Gaddafi Jumamosi iliyopita alipelekwa Jiddah Saudi Arabia akitokea Niger na kupewa himaya na Mawahabi wa nchi hiyo.

1390/00/00  4:21

Uwahabi
Kukua fikra za Kiwahabi ni hatari kwa Uislamu
Katika hali ambayo viongozi wa Saudi Arabia wanaonyesha msimamo laini na wa upole katika vyombo vya habari kuhusu madhehebu nyingine za Kiislamu, viongozi hao hao wanafanya propaganda kubwa za kueneza fikra za Kiwahabi katika nchi mbalimbali za Kiafrika.

1390/00/00  4:22

Uwahabi na Ulimwengu wa Kiislamu
Kuharamishwa kandanda Nchini Saudia Arabia
Mufti mmoja wa Saudi Arabia ametoa fatwa ya kuharamisha kucheza mpira wa miguu vijana wa Kiislamu kwa sababu tu mchezo huo umebuniwa na Mayahudi, Wakristo, makafiri, Marekani, Russia, Ufaransa na vibaraka wao.

1390/00/00  2:05

Uwahabi
Sheikh Saffar akijibu dharau ya khatibu wa Msikiti wa Madina.
Maulamaa wa Kiwahabi wanataka kuzusha fitina za kimadhehebu.

1390/00/00  5:50

Fitina za Mawahabi
Fitina za Mawahabi katika mji mtakatifu wa Karbala
Polisi ya Iraq imetangaza kuwa silisila ya milipuko ya mabomu imeutikisa mji huo mtakatifu hususan karibu ya jengo la serikali za mitaa linaloshughulikia masuala ya vitambulisho na hai za kusafiria.

1390/00/00  5:54

Uadui dhidi ya Uislamu
Ukafiri wa Mawahabi
Je! kunauhusiano gani wa Aya ya 36 ya Surat Yusuf na Kutiwa Jela Husni Mubarak?

1390/00/00  20:07

Ayatullah Sayyid Kamal Haidariy
Sisi na Masuni tupo udande mmoja na Mawahabi wapo upande wao
Kikao cha Tatu cha kukurubisha chenye Anuani ya “Njia sahihi za mahusiano za Mashia na Masuni” Kikao hicho kikihudhuriwa naAyatullah Allamah Sayyid Kamal Haidariy.

1390/00/00  5:31

Inaruhusiwa Kula Nyama ya Jinni
Mmoja kati ya Mamufti wa Misri Aliruhusu kula Nyama ya Jinni

1390/00/00  4:51

DALILI ZA MAWAHABI ZA KUHARAMISHA KUOMBA SHAFAA

1390/00/00  20:39

WANACHUONI WA KIWAHABI WANAJIPENDEKEZA KWA WATAWALA

1390/00/00  4:21

WAISLAMU WA TA’IF NA MAKKAH WAPORWA NA KUUAWA

1390/00/00  4:18

MISHENI YA KWANZA YA MAWAHHABI

1390/00/00  4:15

UWAHHABI : ASILI NA KUENEA KWAKE

1390/00/00  4:12


  
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani