![]() |
Elimu ya Tiba na historia yake sehemu ya pili Na:Mketo Matenga Maisha ya Ibn siina(Avecina) Makala iliopita tulieleza kwa ufupi Historia ya Tiba katika uisilamu, na kuashiria baadhi ya madaktari wa kiislamu, ambapo miungoni mwao alikuwa daktari mashuhuri Ibun Siina(Avecina).
Ama katika makala hii nitazungumzia maisha yake kwa ufipi na kugusia baadhi ya nukta muhimu za Elimu ya Tiba katika Qur'an na mtazamo wake kunako masuala ya Tiba na taaluma mbalimbali za Tajiruba. Kuwa pamoja name ndugu msomaji katika kuangalia misingi ya kiislamu kunako Elimu za Tajiruba.
|
![]() |
tiba na historia yake sehemu ya kwanza Na: Mketo Matenga Elimu ya Tiba na historia yake katika uislamu Bismillah Rahmani Rahim
Baada ya kumshukuru Mola muumba, nakumtakia rehema na amani mtukufu Mtume(s.a.w.w). Nachukua nafasi hii kuelezea kwa ufupi historia ya tiba kwa sura ya ujumla, na kisha kuangalia mtazamo wa dini ya kiislamu kunako tiba .
Swali lipaswalo kujiuliza ni kwamba elimu ya tiba ilianza zama gani? Pia mtazamo wa uislamu kuhusu tiba ni upi? Ndugu msomaji tushirikiane ili kupata majibu mema yatakayo tunufaisha sisi na jamii kwa ujumla
|
![]() |
Akida sehemu ya Tatu Na:Sirkatundu MAKUNDI KATIKA UISLAMU Katika mada iliyopita nilielezea kuwa Ukhalifa au ungozi baada ya mtume saw ilikuwa ni sababu iliyopelekea waislamu kugawanyika makundi mawili Shia na Sunni
|
![]() |
Falsafa sehemu ya Tatu na: SirKatundu Falfasa ya kiislamu Bismillah Rahman Rahiim
Katika mada ziliyopita nilielezea historia, maana na malengo ya falsafa kwa ufupi.
Kama nilivyoashiria kuwa falsafa inazugumzia: ulimwengu, uhakika wa mambo, vyanzo na sababu za uwepo wa vitu kwa kutumia akili.
Tunaporejea katika maandiko ya dini tukufu ya kiislam, tunakuta dini hii imeelezea vitu hivi, pia imesisitiza kunako kutafakari na kutadabari katika mambo haya. Qur an inamsitizia mwanadamu atazame ametoka wapi? na kwamba hakuumbwa bila malengo,pia inamsisitizia atafakari kunako uumbaji wa mbingu na nchi na mengineyo.
Nahapa ndipo tunapokutana na falsafa ya kiislamu, falsafa ambayo misingi na asasi zake zinatokana na maandiko ya dini tukufu ya kiislamu.
Kwa ibara nyingine tunaweza sema kuwa: falsafa ya kiislamu inabainisha ulimwengu, uhakika wa mambo, vyanzo na sababu za uwepo wa vitu kwa kutumia akili inayoungwa mkono na maandiko ya dini tukufu ya kiislamu.
|
![]() |
Makala ya Wiki KUTEKWA KWA GILAD NI HATUA ZA MAFANIKIO KWA HAMAS Gilad ni wajeshi wa Israel ambaye alitekwa na kupelekwa mafichoni na wanamgambo wa harakati za kutetea haki za nchi na wananchi wa madhulumu wa Parestina.
|
![]() |
Itikadi Sehemu ya Pili Akida na:H.Katundu AKIDA
Tofauti katika masuala ya kifiqhi ndio sababu kuu ya kupatikana makundi ya kifqh kama vile madhehebu makuu manne ya kifqh kwa masunni ambayo ni Hanafii, Malikii, Shafii na Hanbalii makundi haya manne katika mtazamo wa kifqh yanatofautiana kwani kila moja kati ya makundi hayo yana rai yake binafsi ijapokuwa kuna wakati wanafikiana katika rai zao.
|
![]() |
Falsafa ya Kiislam Falsafa sehemu ya pili Na:H.Katundu Neno fasalfa si neno geni, kwani tumekuwa tukilisikia au kilitumia mara kwa mara katika mazungumzo yetu ya kila siku. Katika mada hii nitaelezea elimu ya Falsafa muhtasari.
Neno Falsafa, linatokana na neno la kigiriki PHILOSOPHIA. Ambapo ni muunganiko wa maneno mawawili: PHILO na SOPHIA.
Neno PHILO linamaanisha Upendo na neno SOPHIA lina maansiha hekima.
|
![]() |
Falsafa ya Kiislam Falsafa Neno fasalfa si neno geni, kwani tumekuwa tukilisikia au kilitumia mara kwa mara katika mazungumzo yetu ya kila siku. Katika mada hii nitaelezea elimu ya Falsafa muhtasari.
Neno Falsafa, linatokana na neno la kigiriki PHILOSOPHIA. Ambapo ni muunganiko wa maneno mawawili: PHILO na SOPHIA.
Neno PHILO linamaanisha Upendo na neno SOPHIA lina maansiha hekima.
|
![]() |
Itikadi sehemu ya kwanza Akida AKIDA
Akida ni moja kati ya elimu muhimu kwa kila muislamu, elimu hii inaongelea (mizizi ya dini) au itikadi za kiislamuambazo kila muislamu anatakiwa kuwa na imani nazo.
Kwa jina jingine, elimu hii huitwa “Kalaam” (Islamic Theology).
Kwa mukhtasari tunaweza sema kuwa: Elimu hii inazungumzia misingi ya dini ya kiislamu (Usuulu din)
|
![]() |
Makala zetu Msikiti wa kwanza wajengwa Athens Bunge la Ugiriki hatimaye limetoa kibali cha kujengwa msikiti wa kwanza mkuu mjini Athens, ambao ni mji mkuu wa nchi hiyo, jambo ambalo limekuwa likijadiliwa kwa muda mrefu nchini humo.
|
![]() |
Makala maalumu Tukio la 9/11, kisingizio cha vita dhidi ya Uislamu Leo ikiwa ni kumbukumbu ya matukio ya September 11, nchini Marekani, wataalamu wa masuala ya kisiasa wanasema Marekani inatumia matukio hayo kuendeleza vita na chuki dhidi ya Uislamu duniani.
|
![]() |
Ibada ya Hijja ni chemchemi safi inayoweza kuwatakasa mahujaji na uchafu wa madhambi |
![]() |
YANAYO FUNGUZA SWAUMU |
![]() |
KUTHIBITI KWA MWEZI WA RAMADHANI |
![]() |
Madhara ya ulevi kwa binadamu |