![]() |
Marekani Terry Jones atangaza kuichoma Qur ani tukufu kwa mara nyingine Padri wa kimarekani ambaye alichoma kitabu kutukufu cha Qur an ametangaza kukichoma tena kitabu hicho kitukufu.
|
![]() |
Habari za Marekani Ziara ya serikali mpya ya Obama Berlin na Paris Waziri mpya wa mambo ya nchi za nje wa Marekani, John Kerry, amewasili Berlin,kituo cha pili cha ziara yake ya siku 10 katika nchi za Ulaya ya Magharibi, Mashariki ya kati na katika Falme za kiarabu.
|
![]() |
Baada ya mauaji ya kinyama Marekani kutafuta njia mbadala Obama kuzindua mpango wa kudhibiti silaha nchini Marekani Rais Barack Obama wa Marekani amelitaka bunge la nchi hiyo kupitisha sheria inayopiga marufuku uuzaji wa bunduki zilizoundwa kwa matumizi ya kivita, na utaratibu wa kukagua historia ya kila mtu anayetaka kununua bunduki.
|
![]() |
Venezuela Venezuela yaahirisha kiapo cha Chavez Venezuela imetangaza kuahirisha rasmi sherehe za kula kiapo cha Urais kutokana na hali ya kiafya ya muhusika; Rais Hugo Chavez kuendelea kuwa mbaya.
|
![]() |
Marekani Panetta: kuishambulia Iran kijeshi ni uamuzi wa mwisho kabisa mtazamo wetu ni sawa na mtazamo wa Israel lakini hatuwezi kuivamia Iran kijeshi kwa sasa,uvamizi utakuwa ni hatua ya mwisho kabisa
|
![]() |
Amerika Takwimu ya vijana wanaosilimu yaongezeka Algentina Kiongozi mmoja wa dini nchini Algentina asema idadi ya vijana wanaosilimu yaongezeka kadri siku zinavyosonga mbele.
|
![]() |
Marekani Tovuti ya Televisheni ya NBC ya Marekani kufungwa Tovuti ya Televisheni ya NBC ya Marekani kufungwa masaa kadhaa na watu wasojulikana wanaoitwa Hucker.
|
![]() |
Polisi na vikosi vya kuzima moto vyakabiliwa na tatizo la mshahara Marekani Kuanzia New York hadi California polisi na vikosi vya kuzima moto vyakabiliwa na tatizo la kupunguzwa kwa mishahara na marupurupu yao. Vikosi hivyo vinalalamika kuwa wanasiasa wanavilenga.
|
![]() |
Mashariki ya kati Marekani yaongeza nguvu zake za kijeshi katika Ghuba ya Uajemi ABNA inatuarifu kuwa: Serikali ya Baraka Obama imeongeza na nguvu zake za kijeshi katika kambi zake zilizopo katika eneo la ghuba ya Uajemi kwa lengo la kujikinga na mashambulizi makali yanayotarajiwa kutoka kwa Jamhuri ya kiislam ya Iran.
|
![]() |
Marekani Obama arudia vitisho kwa Jamhuri ya kiislam ya Iran ABNA inatuarifu kuwa: Raisi wa Marekani Barrack Obama amerejea kutoa vitisho vya kuivamia kijeshi Jamhuri ya kiislam ya Iran iwapo itaendeleza urutubishaji wake wa Nyukilia wa njia ya amani
|
![]() |
Venezuela Chavez kufanyiwa upasuaji Cuba ABNA inatuhabarisha kuwa:Rais wa Venezuela amewasili nchini Cuba kwa minajili ya kufanyiwa upasuaji
|
![]() |
Obama apiga saini mkataba wa kuiwekea vikwazo benki ya Iran ABNA inatuarifu kuwa: Baraka Obama rais wa Marekani amekubaliana na kusaini mswada uliopitishwa wa kuiwekea vikwazo Iran.
|
![]() |
Waislamu tuko wapi! Unyama wa Marekani Afghanistan Waziri wa ulinzi wa Marekani Leon Panetta amesema video inayoonyesha askari wa jeshi la majini la Marekani wakikojolea maiti za Wafghanistan ni la “kusikitisha sana”.
|
![]() |
Marekani na mashariki ya kati Marekani yaiomba radhi Afghanistani kwa kitendo chake cha kinyama. ABNA inatuhabarisha kuwa: Waziri wa ulinzi wa Marekani amemtaka radhi rais wa Afghanistani, baada ya picha za video zilizo sambazwa katika mitandao ambazo zinaonyesha baadhi ya wanajeshi wa Marekani wakikojolea miili ya waafghanistani walio kufa.
|
![]() |
China na Marekani zashidwa kuafikiana juu ya Iran. ABNA inatuarifu kuwa: Serikali ya Marekani imeshindwa kuafikiana na serikali ya China katika jitihada za kuiwekea vikwazo Iran baada ya kufanyika mazungumzo kati ya waziri wa fedha na mipango ya uchumi wa Marekani Timoth Geithner na viongozi wa China.
|
![]() |
Iran na Amerika Kiwanda kipya cha Nyuklia cha Iran chainyima usingizi Marekani na waitifaki wake. ABNA inatuarifu kuwa: Taarifa ya Iran kuanza kurutubisha Uraniam imekuwa gumzo duniani hasa kwa Marekani.
Iran imeanza kurutubisha madini ya Uranium katika kiwanda kilichoko chini ya ardhi kaskazini mwa nchi hiyo.
|
![]() |
Iran na Amerika Ziara ya Ahmad Nejat Venezuela tishio kubwa kwa Marekani ABNA inatuarifukuwa:Rais Hugo Chavez wa Venezuela jana alikutana na Raisi wa Jamhuri ya kiislam ya Iran Dakta:Mahmoud Ahmadinejad, akiwa katika ziara ya nchi 4 za Latin Amerika.
|
![]() |
Marekani Lawama za Marekani dhidi ya China kuhusu mikakati ya ulinzi hazina mashiko. China imesema lawama zilizotolewa na wizara ya ulinzi ya Marekani dhidi ya China katika waraka wa tathimini ya mikakati ya ulinzi haina msingi wowote na si ya kuaminika.
|
![]() |
Waislamu Marekani walaani hujuma dhidi ya Msikiti New York Baraza la Uhusiano wa Marekani na Uislamu CAIR limelaani vikali hujuma ya bomu dhidi ya msikiti mmoja huko New York wakati Waislamu wakiswali ndani ya msikiti huo.
|
![]() |
Athari za muamko wa Kiislamu kuikumba Marekani Waislamu wa New York waandamana kupinga ukandamizaji wa polisi Mamia ya Waislamu wa jiji la New York nchini Marekani waliandamana jana wakipinga harakati za kijasusi zinazofanywa na polisi ya nchi hiyo dhidi ya raia Waislamu.
|
![]() |
Marekani na Israel kufanya luteka kubwa ya kijeshi Naibu Waziri anayeshughulikia masuala ya Kisiasa na Kijeshi wa Marekani amesema nchi yake na utawala wa Kizayuni wa Israel zinajiandaa kufanya manuva kubwa ya kijeshi
|
![]() |
Marekani & Afrika Marekani kurefusha tena Muda wa vikwazo dhidi ya Sudan Abna inatuarifu kuwa:Rais Barack Obama wa Marekani kwa mara nyingine tena ameudhihirishia ulimwengu jinsi utawala wa Washington ulivyojengeka juu ya misingi ya dhulma na unafiki baada ya kurefusha kwa mwaka mmoja zaidi vikwazo dhidi ya Sudan.
|
![]() |
Marekani & Afrika Marekani yaendelea Mashambulizi ya anga Somalia Abna inatuarifu kuwa: ndege za kivita za marekani zinazoendeshwa kwa mitambo maalum zimeendeleza mashambulizi makali dhidi ya raia madhulumu wa Somalia.
|
![]() |
Marekani Polisi Marekani watumia gesi ya kutoa machozi kudhibiti maandamano Abna inatuarifu kuwa:Mwamko wa wananchi wa Marekani ulioanza kwa jina la harakati ya "Wall Street" umeingia katika sura mpya baada ya polisi wa nchi hiyo kuweka wazi zaidi dhati yao halisi ya ukandamizaji dhidi ya raia.
|
![]() |
Marekani Waandamanaji: Marekani inaendeshwa kidikteta Abna inatuarifu kuwa:Wananchi wanaoandama nchini Marekani kupinga mfumo wa kibepari wamelalamikia ukandamizaji wanaofanyiwa na watawala wa nchi hiyo wakisema kuwa, Marekani inaendeshwa kidikteta na kipolisi.
|