![]() |
AFRIKA Wanao mpinga Mursiy watazuiliwa kutoka nje ya nchi kiongozi mkuu wa Gazeti la Al Ahrar la Misri aeleza: wale ambao wanaita kufanya maandamano katika majengo ya makao makuu ya kikundi cha Ikhwanul Muslimina wanahusika katika matukio yanayotokea hivi sasa, kwani viwanja vya kufainyia maanda ni viwanja vya Tahriri
|
![]() |
AFRIKA Televishen zazingirwa na wafuasi wa Mursiy Mamia ya wafuasi wa Muhammad Mursiy wajikusanya mkabala na Televishen zilio dhidi ya Muahammad Mursiy
|
![]() |
Afrika Kiongozi wa mawasiliano nchini Libya: (Gaddafi Aldum) tutamchukua kutoka mjini Cairo Rais wa masuala ya mawasiliano nchini Libya amesafiri kwenda mjini Cairo kwaajili ya kukabidhiwa Ahmad Aldum kaka wa Gaddafi (dikteta wazamani aliopinduliwa nchini Libya)
|
![]() |
Afrika Amru Musa amuomba Mursiy kusikiliza matwakwa ya wapinzani Amru Musa amesisitiza kuwa (Muhammad Mursiy) Rais wa Jamhuri ya Misri yampasa athibitishe kuwa yoko tayari kusikiliza rai na maombi ya wapinzani wake
|
![]() |
Njama za wazungu Mkuu wa waasi Kongo kujisalimisha Maafisa wa Marekani na Rwanda wamesema mbabe wa kivita katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Bosco Ntaganda, amejisalimisha kwa ubalozi wa Marekani mjini Kigali na kuomba apelekwe ICC.
|
![]() |
Habari za afrika Uhuru Kenyatta awa rais wa 4 wa Kenya Tume ya uchaguzi ya Kenya leo imemtangaza Uhuru Kenyatta kuwa rais wa Jamhuri ya Kenya baada ya kupata kura milioni 6.17 na kumshinda mpinzani wake Raila Odinga.
|
![]() |
Habari za afrika Kufel oiperesheni za kijeshi za Ufaransa nchini Mali Ufaransa ambayo ipo kwenye operesheni ya kijeshi nchini Mali tangu mwezi Januari, hadi sasa imeshatuma askari elfu 4. Operesheni hiyo inayofanywa katika sehemu ya kaskazini nchini humo imekumbwa na wakati mgumu wa kushambuliwa tokea mwezi Machi, ambapo hadi sasa vifo vya askari wa Ufaransa vimeongezeka na kufikia vinne.
|
![]() |
Habari za Afrika Wagombea urais Kenya kufanya mdahalo Wakenya watakwenda kupiga kura hapo Machi 4 kumchagua kiongozi atakayeiongoza nchi hiyo. Wagombea wa kiti cha urais watafanya mjadala wa pili kujieleza juu ya yale watakayoyafanya pindi wakichaguliwa.
|
![]() |
Habari za Afrika Uchaguzi wa bunge la Misri kufanyika Aprili Rais Mohammed Morsi wa Misri ametangaza kufanyika kwa uchaguzi wa baraza la chini la bunge la nchi hiyo Aprili 27 katika vipindi vinne, na kikao cha kwanza cha baraza hilo kitafanyika Julai 6.
|
![]() |
Habari za Afrika Matembezi ya kilomita 89 kusherehekea siku ya kuzaliwa ya rais Mugabe Mamia ya watoto wa watu waliopigania uhuru nchini Zimbabwe watatembea umbali wa kilomita 89 leo hii kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe. Matembezi hayo yataanzia kwenye Makao Makuu ya chama cha ZANU PF mjini Harare, mpaka mji wa Bindura ulioko mkoa wa kati wa Mashonaland, ambako watu watakusanyika kusherehekea miaka 89 tangu kuzaliwa kwa rais Mugabe.
|
![]() |
Uchambuzi wa Habari Kiwewe cha dhahabu Kewanja, Tanzania Tanzania imekalia hazina. Nchi hiyo ya Afrika Mashariki ina akiba ya madini ya dhahabu wakia milioni 36. Katika orodha ya wazalishaji wakubwa wa dhahabu Tanzania inashika nafasi ya tatu nyuma ya Ghana na Afrika Kusini.
|
![]() |
Habari za Afrika Usalama waimarishwa Libya Majeshi ya usalama yamewekwa katika hali ya juu ya tahadhari nchini libya leo Jumapili(17.02.2013)wakati taifa hilo linaadhimisha miaka miwili tangu kuanza kwa uasi ambao ulimwondoa madarakani dikteta Moammer Gaddafi.
|
![]() |
Viongozi wa Jumuia ya Maendeleo kusini mwa Afrika wakutana Dar es Salaam, kujadili Mgogoro wa Congo Viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo ya kusini mwa afrika SADC wanakutana jijini Dar es Salaam nchini Tanzania hii leo kwenye mkutano unaotarajiwa kutawaliwa na ajenda kuhusu mgogoro wa mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya kongo DRC na nchi ya Madagascar.
|
![]() |
Habari za Afrika Mtu mmoja ameuawa na 40 kujeruhiwa katika mlipuko wa ghala la fataki nchini Nigeria Shirika la Taifa la Kusimamia Masuala ya Dharura la Nigeria NEMA limesema mmoja ameuawa na wengine 40 kujeruhiwa kufuatia mlipuko wa ghala ya kuhifadhia fataki katika soko la Jankara huko Lagos.
|
![]() |
Swaziland Polisi kukamata wanawake wanaovaa nguo fupi Polisi wa Swaziland wanaendeleza zoezi la kukamata wanawake wanaovaa nguo fupi nchini humo
|
![]() |
Habari za Afrika Tanzania, Ombi la kuuza akiba ya pembe za ndovu kuharamishwa Tanzania imeondoa ombi lake la kuuza pembe za ndovu baada ya kushindwa kukidhi masharti ya kuuza akiba ya kilogram laki moja za pembe hizo.
|
![]() |
Afrika kiasi cha Wafungwa 200 watoroka jela kusini mwa Libya Amesema msimazmizi wa gereza hilo jumatano ya jana kuwa kiasi cha wafungwa 200 wametoroka katika jela hiyo iliopo kosini mwa Libya
|
![]() |
Habari za Afrika Hatima ya Katiba Misri kutatuliwa na Bunge Bunge la katiba la Misri limepitisha kwa kauli moja muswada wa mwisho wa katiba mpya ya nchi hiyo. Upigaji kura katika bunge hilo uliofanyika mapema leo, ulidumu kwa takriban saa 17. Muswada huo unatarajiwa kuwasilishwa kwa rais Mohammed Morsi baadae leo, na kama rais Morsi ataupitisha, kura ya maoni itafanyika ili kuamua kama katiba hiyo ifuatwe au la.
|
![]() |
Habari za Afrika Mahakama Kuu ya Katiba ya Misri yamtuhumu rais Mursi kwa kuongoza kampeni dhidi yake Makamu mwenyekiti wa mahakama ya katiba nchini Misri Maher Samy amemtuhumu rais Mohamed Morsi wa nch hiyo kwa kuongoza kampeni dhidi ya mahakama hiyo. Rais Morsi ameishutumu mahakama hiyo kwa kutangaza hukumu yake kabla ya siku iliyopangwa.
|
![]() |
Tanzania Mawahabi Tanzania watuma sms za kuwasihi wanaumini wafunge siku ya Ashura wafuasi wa Muhammad bin Abdilwahhab (Mawahabi) limekuwa likituma sms kwa wananchi wa Tanzania na kusisitiza kuwa ni sunna ya mtume kufunga siku ya Ashura
|
![]() |
UNDP: Hongera Tanzania kwa juhudi za maendeleo katika wiki ya Umoja wa Mataifa Umoja wa Mataifa umeanza kuadhimisha wiki mahsusi kwa ajili ya Umoja huo kwa kufanya shughuli mbalimbali ambapo nchini Tanzania taasisi za Umoja wa Mataifa, Serikali ya Tanzania na mashirika ya kiraia wanakutana kuzungumzia maswala mbalimbali yahusuyo maendeleo, utawala bora na njia za kupiga vita umaskini uliokithiri.
|
![]() |
Afrika Rais wa Mauritania apigwa risasi na askari wake bahati mbaya Rais Mohamed Ould Abdel Aziz wa Mauritania Jumamosi amejeruhiwa kidogo baada ya msafara wake wa magari kufyatuliwa risasi kwa bahati mbaya na kikosi cha askari. Hivi sasa rais huyu anatibiwa katika hospitali ya kijeshi iliyoko chini ya ulinzi mkali katika mji mkuu wa Nouakchott.
|
![]() |
Waziri Mkuu wa Libya aachia ngazi Waziri mkuu wa Libya Mustafa Abu Shagur ameondolewa kwenye nafasi yake na bunge la congres la nchi hiyo baada ya baraza lake la mawaziri alilolitangaza kwa mara ya pili siku ya Jumapili kukataliwa na wabunge.
|
![]() |
Afrika Waziri mkuu mpya atangazwa nchini Somalia Rais wa jamhuri ya Somalia amtangza waziri mkuu mpya (Abdiy faraj shardun) ambae ni miungoni mwa wafanya biashara maarufu ambae wananchi hawakuwa wanamfahamu hapo kabla
|
![]() |
Hatima ya mizozo ya Afrika ni nini?! Wanafunzi zaidi ya 20 wauliwa kwa kupigwa risasi Nigeria Kundi la watu lililokuwa limejihami kwa bastola nchini Nigeria limewaua zaidi ya wanafunzi 20 baada ya kuwapiga risasi katika Chuo kimoja cha mafunzo ya juu mjini Mubi katika jimbo la Adamawa.
|