![]() |
FIFA kujitoa kimasomaso Baada ya unyama wa Israel na kushindwa vita, Nchi nyingi zimelaani vikali hatua ilofikia Israel kuvuja uwanja wa Kandanda Ghaza ambao ni uwanja tegemeo katika eneo la Ghaza kwani hata hafla za Serikali mara nyingi hufanyika ndani ya uwanja huo, la kusikitsha FIFA haikuzungumza chochote kunako unyama huo, ila baada kulaani nchi nyingi kunako suala hilo FIFA ilijotowa kimasomaso kusema kua; FIFA ipotayari kusaidia kujenga uwanja huo.
|
![]() |
Je!! kuvaa hijabu ni kosa? Kuzuiliwa Mwanamichezo wa Saudia Arabia kwa kuvaa kwake hijabu Mmoja kati ya washindani wa Judo katika mashindano ya Olimpiki London 2012 azuiliwa kushiriki katika mashindano hayo kwa kosa la kuvaa hijabu.
|
![]() |
Michezo Baada ya vurugu za Port Said Mashabiki 75 wa soka nchini Misri wapandishwa kizimbani Watuhumiwa sabini na tano waliokamatwa na polisi nchini Misri kutokana na kuhusika na vurugu za uwanjani zilizosababisha vifo vya watu zaidi ya sabini wamepandishwa kizimbani hii leo kwenye mahakama kuu mjini Cairo.
|
![]() |
Blatter kuingilia suala la Misri Rais wa shirikisho linalotawala mpira wa miguu Duniani (FIFA) Sepp Blatter ameshutumu hatua ya Misri ya kuwatimua viongozi wa soka wa nchi hio, akisema kua ni kuingilia kati masuala ya soka na serikali.
|
![]() |
Misri baada ya muamko wa Kiislam Siku tatu za maombolezi ya kitaifa Misri Baraza la utawala wa kijeshi nchini Misri limetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa baada ya watu wasiopungua 74 kuuwawa katika mapigano kati ya mashabiki wa timu pinzani katika mji wa Port Said.
|
![]() |
Jamii na Sanaa Utamaduni na Sanaa ya Kiislamu Chuo Kikuu cha Texas Utamaduni na sanaa ya Kiislamu vinachunguzwa katika kikao kinachofanyika leo katika Chuo Kikuu cha Texas katika mji wa Arlington.
Kila muhula wa masomo Kundi la Sanaa na Historia la chuo hicho hushirikiana na Baraza la Kiislamu la Agha Khan la Texas Kaskazini katika kuandaa vikao vinavyojadili masuala mbalimbali yanayohusiana na Uislamu ambapo katika muhula huu nembo zilizokuwa zikitumiwa na wafalme wa Kiislamu katika zama za kale zitachunguzwa.
|
![]() |
Michezo Kuandamana dhidiya Timu ya Mazayuni MashabikiwaTimu ya Beshkitash kuandamana jana dhidi yaTimu ya Mazayuni katika Ligi ya Ulaya.
|
![]() |
Maonyesho ya Picha za Mwamko wa Kiislamu kufanyika Tehran Mkuu wa Jumuiya ya Wapiga Picha Iran amesema Maonyesho ya Picha za Mwamko wa Kiislamu duniani yatafanyika mjini Tehran.
|
![]() |
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Lebanon:Lengo la wasanii Waislamu ni kuwasilisha maana ya aya za Qur'ani katika fikra |
![]() |
Wanasoka wa iran kusaidia Somalia Mapato ya mechi za mzunguko wa tano wa Ligi Kuu ya Soka ya Iran kupelekwa Somalia Azizullah Muhammadi, mkuu wa chombo kinachosimamia mashindano ya Ligi Kuu ya Soka ya Iran amesema kuwa, mapato ya mechi za mzunguko wa tano yatapelekwa nchini Somalia katika fremu ya msaada kwa wananchi wa nchi hiyo wanaokabiliwa na baa la njaa.
|
![]() |
Mamufti wa Jordan waharamisha filamu zenye sura za Imam Hassan na Hussein (as) Mamufti wa Jordan wametoa fatuwa ya kuharamisha filamu zinazoonyesha sura ya Imam Hassan na Hussein (as).
|
![]() |
Maonyesho ya athari za Kiislamu nchini Ufaransa Moanyesho ya sanaa ya Kiislamu yanaendelea katika mji wa Lyon nchini Ufaransa. Maonyesho hayo ambayo yalianza tarehe Pili Februari katika Jumba la Makumbusho ya Sanaa mjini Lyon yamepangwa kukamalizika tarehe Nne Julai.
|