![]() |
Mashariki ya kati Watu 16 wauawa mjini Damascus Watu 16 wamekufa na wengine 208 kujeruhiwa baada ya mtu mmoja kujilipua akiwa ndani ya gari iliyokuwa na mabomu katika makutano ya barabara iliyo karibu na makao makuu ya chama tawala cha al-Baathi mjini Damascus, Syria.
|
![]() |
Mashariki ya kati Mazungumzo kusaidia kupunguza mapambano nchini Syria Waziri wa habari wa Syria amesema mazungumzo ya kitaifa yatasaidia kupunguza mapambano nchini humo huku tume huru ya Umoja wa Mataifa ikionya kuwa mapambano yamegeuka kuwa ya kikabila.
|
![]() |
Uchambuzi wa Habari Kiwewe cha dhahabu Kewanja, Tanzania Tanzania imekalia hazina. Nchi hiyo ya Afrika Mashariki ina akiba ya madini ya dhahabu wakia milioni 36. Katika orodha ya wazalishaji wakubwa wa dhahabu Tanzania inashika nafasi ya tatu nyuma ya Ghana na Afrika Kusini.
|
![]() |
Habari za Afrika Usalama waimarishwa Libya Majeshi ya usalama yamewekwa katika hali ya juu ya tahadhari nchini libya leo Jumapili(17.02.2013)wakati taifa hilo linaadhimisha miaka miwili tangu kuanza kwa uasi ambao ulimwondoa madarakani dikteta Moammer Gaddafi.
|
![]() |
Mwamko wa Kiislamu Watu 2 kuuawa Bahrain katika maandanamo ya kuadhimisha mapinduzi yao Watu wawili wameuawa na polisi 75 kujeruhiwa nchini Bahrain tangu vurugu zianze usiku wa mkesha wa maadhimisho ya pili ya maandamano ya kupinga serikali ya mwaka 2011 nchini humo.
|
![]() |
Mashariki ya kati Picha ya kuvutia ya maandamano ya Bahrain Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Zaidi ya watu 300 wakiwemo Wanawake siku ya Ijumaa waliandamana dhidi ya utalawa wa kifalme Bahrain katika sherehe na kumbukumbu za mapinduzi ya nchi hiyo na siki hiyo iliitwa siku ya KUITIKA WITO WA NCHI. Wananchi wa Bahrain huu ni mwaka wa 2 waandamana dhidi ya utawala wa kidikteka wa Bahrain.
|
![]() |
Habari za Iran Mazungumzo ya Iran na IAEA kuleta matunda Duru ya pili ya mazungumzo kati ya Iran na Shirika la kimataifa la nishati ya Atomiki IAEA ilimalizika jana mjini Tehran kuleta maatunda mema baada ya makubaliano baina ya Iran na IAEA.
|
![]() |
Afrika Kila aliyesafiri kwendai Iran si ruhsa kuingia Libya Kuzuiliwa kuingia nchini Libya kila pasipoti iliokuwa na viza ya Iran, suala hili limebainika baada ya ubalozi wa Lebanon nchini Libya kutangaza kuwa kila pasipoti ya mlebanon iliokuwa na viza ya Iran hataruhusiwa kuingia nchini Libya
|
![]() |
Mashariki ya kati Jeshi la Iran latengeneza makombora mapya kudungulia ndege Jeshi la ulinzi wa mapinduzi ya kiislamu ya Iran limetambulisha silaha yake mpya yenye uwezo wa kumshambulia yenyewe bila ya kuhitajia askari wa kuifyatua
|
![]() |
Mazungumzo ya kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na Jeshi la Anga la Iran Baadhi ya maneno katika hotuba ya kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu alisisitiza kwa kusema: “Mimi si mwanadiplomasia bali ni mwanamapinduzi, na kwa sababu hiyo ninasema waziwazi, kwa ukweli na kwa msimamo imara kwamba, mazungumzo yatakuwa na maana pale upande wa pili utakapoonesha nia njema.”
|
![]() |
Kumbukumbu ya hotuba ya Khamenei na Jeshi la Anga la Iran Mimi si mwanadiplomasia mimi ni mwanamapinduzi Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ally Khamenei alihutubia hadhara ya makamanda na maafisa wa Jeshi la Anga la Iran akisema kua kuendelea kwa shinikizo mbalimbali na vitisho vya Marekani, sasa ni miaka 34 huku viongozi wa nchi hiyo wakidai kua wako tayari kufanya mazungumzo na Iran, hiyo ni ishara ya kutokuwa na nia njema serikali ya Washington na hiyo miongoni mwa njia za kuhadai watu wenye upeo wa chini.
|
![]() |
Maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran apongeza wananchi kuona mbali Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ally Khamenei siku ya Jumatatu katika somo lake la Fiqh alipongeza taifa la Iran kwa kuona mbali, ushujaa na kutambua muda wa kujitokeza kwa wingi katika maandamano na sherehe za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
|
![]() |
Kujiuzulu Papa Nini kinachotokea Vatican Taatifa na habari rasmi kutoka Vatican, Kiongozi wa Kanisa la Katoliki duniani, Papa Benedict XVI atajiuzulu kutoka katika wadhifa wake February 28 mwaka huu.
|
![]() |
Afrika Swaalehiy: wamisri kuanzia mwezi ujao wanaruhusiwa kuingia Iran bila ya viza Waziri wa mambo ya nje ya Iran ameashiria kunako muafaka mpya baina ya Iran na Misri kuwa: wamisri wenye safari za Iran kibiashara na kitalii wataingia pasina viza nchini Iran kuanzia mwezi ujao
|
![]() |
Mashariki ya kati Iran haijawahi kutawaliwa na haita tawaliwa na nchi yeyote Meja Jeneral wa jeshi la ulinzi wa mapinduzi ya kiislam ya Iran amesema kuwa Iran haikuwahi kuwa koloni la nchi yeyote na katu haitakuwa koloni ya nchi yeyote
|
![]() |
Sikukuu ya maadhimisho ya miaka 34 ya mapinduzi ya Kiislamu Ujumbe wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) kwa siku ya mapinduzi ya Iran Wananchi wa Iran katika mwaka na siku kama hii walishuhudia maendeleo ya kielimu, Kisiasa na kitamaduni, Miongoni mwa maendeleo hayo ni kutowa utawala wa kigeni katika nchi yao na kuchagua Uislamu kuwa kanuni na muongozo wao katika kila nyanja ya Kimataifa.
|
![]() |
Mashariki ya kati Famila moja ya Kisaudia kuishi ndani ya Gari Mmoja kati ya wakazi wa Mak`kah kwa kutoweza kutowa kodi ya nyumba awajibika kulala yeye na Watoto wake wa 3 ndani ya Gari.
|
![]() |
Habari za Afrika Hali ya utulivu nchini Misri haitadumu kwa muda mrefu Hivi sasa nchini Misri kuna hali ya utulivu, lakini hali hii inaweza kubadilika katika miezi ijayo baada ya maelfu ya watu kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mapigano kati ya jeshi la serikali na waandamanaji siku chache zilizopita. Ingawa kwa sasa Misri inaonekana kuwa shwari, viwanja mbalimbali kuwa katika utulivu, na usafiri kurejea katika hali ya kawaida, baadhi ya wachunguzi wanaamini kuwa, huo ni "utulivu kabla ya machafuko".
|
![]() |
Mahmud Ahmadnajad Ziara kwanza ya rais wa Iran nchini Misri tokea mwaka 1979 Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Iran jana aliwasili Cairo, mji mkuu wa Misri kwa ziara, hii ni mara ya kwanza kwa rais wa Iran kufanya ziara Misri tokea mwaka 1979.
|
![]() |
Afrika Kuwawa mwandamanaji wa pili nchini Misri Idadi ya watu walio uwawa mkabala na ikulu ya Rais wa jamhuri ya Misri kuanzia asubuhi yaleo imeongezeka nakufikia watu wawili
|
![]() |
Uchambuzi wa habari Je marekani aweza kuvamia Iran?! Habari dunia nzima zimesambazwa kusema kua Marekani muda na saa yoyote atavmia Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran, Ila walokua wengi hasa wasuitambua Iran waona mtazamo huo ni sahihi kwa maarifa na ufahamu yao madogo kunako Iran.
|
![]() |
Mashariki yakati Rais wa Iran azindua ndege mpya ya kivita leo sambamba na kuazimisha masiku kumi ya ushindi wa mapinduzi ya kiislam rais wa jamhuri ya kiislamu ya Iran Dk: Mahmud Ahmad Nejad amezindua ndege mpya ya kivita.
|
![]() |
Jamuhuri ya Kiislam kupiga hatua kiteknolojia Kama nyani wa Irani alirejea ardhini hai, Tusubiri bomu la Nyuklia! Figaro aandika: kufaaniwa Iran kuagiza Nyani angani na kurejea hai ni teknolojia ambayo katika siku za hapa karibuni tutashuhudia Iran kuagiza binadamu angani.
|
![]() |
Netanyahu: Lazima tupambane na Iran isijetokea Holocaust Waziri Mkuu wa Israel mara nyingine tena Holocaust kua sababu ya kudhihirisha hofu yake kunakoJamuhuri ya Iran, Akieleza kua Iran haichoki hadi ipate bomu la nyuklia.
|
![]() |
Mashariki yakati Jeshi la Iran lataraji kuzindua Jet mpya kesho Jeshi la Ulinzi wa mapinduzi ya kiisalam ya Iran limeazimia kuzindua ndege mpya ya kivita ya mwendo kasi hapo keshi inshallah.
|