Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Mashariki ya kati
Israel yashambulia Siria
Jumuiya ya nchi za kiarabu hii leo imeishutumu Israel kwa kuishambulia Syria kwa makombora ya angani ikisema hatua hiyo ni dhahiri na ya wazi kuwa Israel inaingilia maswala ya mamlaka ya nchi za kiarabu.

2013/01/31  22:54

Habari za Afrika
UNESCO kuahidi kulinda urithi wa utamaduni Mali
Mkurugenzi wa shirika la elimu, sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO Bi. Irina Bokova juzi aliahidi "kufanya kila awezalo kukarabati na kulinda urithi wa utamaduni wa Mali".

2013/01/31  21:56

Habari za Afrika
Vyama vya upinzani vya Misri vyatoa wito wa kuunda serikali ya umoja na kufanya uchaguzi wa wabunge
Vyama vikuu vya upinzani nchini Misri vimefikia makubaliano na kutoa wito wa kufanya mazungumzo na serikali ya nchi hiyo kuhusu kuunda serikali mpya ya umoja na kufanya uchaguzi wa wabunge.

2013/01/31  21:46

Afghanistan
Riwaya kwa picha Afghanistan wiki ilopita
Rais wa Afghanistan Haamid Karzay kukutana na mjumbe rasmi wa Marekani Afghsnistan, Sherehe za wiki ya umoja Afghanistan, Miripuko katika misafara ya kijeshi na kuondoka mtoto wa malikia Afghanistan ni miongoni mwa habari za picha za wiki ilopita.

2013/01/28  23:53

Watu 77 wakamatwa katika viwanja vya Tahriri
Vyanzo vya habari nchini Misri vyanukuu kuruhusiwa Jeshi la nchi hiyo kukamata wafanya vurugu na wavunjishaji amani nchini humo

2013/01/28  22:46

EU
Uingereza kutishia kujitoa kutoka EU na Ujerumani kulaani vikali hatua hiyo
Hivi karibuni waziri mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron alisema Uingereza kubaki au kujitoa kutoka Umoja wa Ulaya, hii itaamuliwa katika upigaji kura za maoni. Kauli yake imelaaniwa vikali na wanasiasa wa Ujerumani.

2013/01/27  18:45

Afrika
Maingilio ya viwanja vya Tahriri mjini Cairo yafungwa
Baadhi ya vyombo vya habari vyanukuu kufungwa njia zote zinazo ingilia katika viwanja vya Tahriri mjini Cairo kwalengo la kuwazuiia wananchi ambao wanakusudia kuingia katika viwanja hivyo

2013/01/25  21:28

Afrika
Waandamanaji wamisri wavamia ubalozi wa Marekani mjini Cairo
Baadhi ya ripoti zinaeleza kuwa waandamanaji wa Misri wavamia ubalozi wa Marekani mjini Cairo

2013/01/25  21:13

Pakistan
Mlipuko wa gesi wasababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi wengine 36 mjini Lahore, Pakistan
Mtu mmoja amekufa na wengine 36 kujeruhiwa baada ya mlipuko wa gesi kutokea leo tarehe 23 mchana mjini Lahore, nchini Pakistan.

2013/01/23  22:35

Mashariki ya kati
Watu 16 wafariki Iraq katika mlipuko wa bomu
Katika miripuko mitatu ilotokea Iraq leo watu 16 na zaidi ya 40 kujeruhiwa vibaya.

2013/01/22  20:55

Afrika
Siku tatu katika wiki ni zakufanya ibada
Rais wa jamhuri ya Gambia amekubali muswada kuwa siku tatu katika wiki hakutakuwa na kazi kwalengo la wananchi wapate muda wa kufanya ibada na kuendeleza harakati za kilimo

2013/01/21  20:14

Afrika
Hosni Mubaraka baada ya siku kadha zijazo aachwa huru
Mkuu wa jopo la mawakili wa Dikteta wa zamani wa Misri(Hosni Mubaraka) ametoa matarajio kuwa kutokana na vithibitisho na vielelezo vipya walivyo vifikisha katika mahakama kuu ya Misri vinaashiria kuwa Hosni Mubaraka baada ya masiku kadha ya usoni ataachwa huru

2013/01/21  19:30

Hali ya wasiwasi Algeria
Dunia kuilaumu Algeria kwa mzozo wa mateka
Operesheni ya jeshi la Algeria dhidi ya wanamgambo wa Kiislamu waliowateka wafanyakazi wa mtambo wa gesi imemalizika, huku mateka kadhaa wakiripotiwa kufa na nchi za Magharibi zikikasirishwa na Algeria.

2013/01/20  11:36

Hali ya wasiwasi Algeria
Mateka 12 wauawa katika opresheni za kuwaokoa
Mateka 12 wameauawa jana nchini Algeria katika siku ya pili ya operesheni ya kuwaokoa katika kiwanda cha kutengeneza gesi cha Amenas huku wengine 30 wakishikiliwa na wapiganaji.

2013/01/20  11:13

Baada ya mauaji ya kinyama Marekani kutafuta njia mbadala
Obama kuzindua mpango wa kudhibiti silaha nchini Marekani
Rais Barack Obama wa Marekani amelitaka bunge la nchi hiyo kupitisha sheria inayopiga marufuku uuzaji wa bunduki zilizoundwa kwa matumizi ya kivita, na utaratibu wa kukagua historia ya kila mtu anayetaka kununua bunduki.

2013/01/19  10:10

Wasiwasi juu ya hatima ya mateka Algeria
Hali ya sintofahamu imetanda juu ya majaliwa ya raia wa kigeni waliotekwa nyara kwenye mtambo wa gesi nchini Algeria, ambako watekaji wao wanataka mbadilishano wa wafungwa na mwisho wa operesheni za Ufaransa nchini Mali.

2013/01/19  10:05

Athari za vita dhidi ya Plestina na Iran
Israel kuandaa dola 60000 kukabili Makombora ya dola 600 ya Palestina
Gazeti la Washington: Tija ya vita ya siku 8 ya Israel dhidi ya Palestina kugharimu dola 60000 kukabili Makombora ya dola 600 ya Palestina ambayo yatarajiwa kurushwa kwa mara nyingine kama Israel itavamia Palestina kama ilivyofanya siku zilizopita.

2013/01/18  22:04

Imam Husein(as)
Sayyid Tijani Al-Samawi kusafisha Haram ya Imam Husein(as)
Dr. Sayyid Tijani Al-Samawi Mshia maarufu wengi watambua kuingia kwake katika Madhehebu ya Ahlul Bayt(as), Dr. kapata taufiki ya kutumikia na kusafisha Haram ya Imam Husein(as).

2013/01/18  21:36

Afrika
Jarida la kwanza la kishia nchini Tunisia lasambazwa nchini humo
Jarida hilo litakuwa la kila wiki kauli mbiu ya (haki ndiye inayopaswa zadi kufuatwa) jarida hilo litakuwa linasambazwa nchi nzima kwalengo la kutoa mafunzo kwa wananchi

2013/01/18  16:36

Vurugu za Mali kutowa ujumbe mkali kwa Ufaransa
Norway athibitisha kua wanorway 13 wametekwa nyara nchini Algeria
Waziri Mkuu wa Norway Bw Jens Stoltenberg amethibitisha kuwa wanorway 13 wametekwa nyara katika shambulizi la kigaidi lililotokea kwenye eneo moja la uchimbaji wa mafuta mashariki mwa Algeria, lakini kampuni wanayofanya kazi watu hao imesema kati ya wafanyakazi wake waliotekwa wanne wako salama.

2013/01/17  21:51

Kifo cha Mtume(s.a.w.w) na Shahada ya Imam Ridha(as) kukusanya wapenzi wa Ahlul Bayt(as) Mash`had
Baada ya kutembea zaidi ya kilometa 400 wapenzi wa nyumba ya Mtume(s.a.w.w) kukutana Mash`had kuomboleza na kuadhimisha kifo cha Mtukufu Mtume Muhammad(.s.a.w.w) na Imam Ridha(as).

2013/01/12  21:00

Wairan 48 kuachiwa huru baada ya kuachiwa huru marubani 4 wa Kituruki
Mmoja kati ya Viongozi wa Syria alieleza kua Wairan 48 walotekwa nyara na Waasi wa Syria kuachiwa huru baada ya kuachiwa huru marubani 4 wa Uturuki.

2013/01/12  20:50

mashariki yakati
Jeshi la Urusi lafanya maneva Siria
jeshi la wanamaji la Urusi linaendelea kufanya mazoezi yake katika eneo la maji ya Siria

2013/01/12  12:29

Siku ya huzuni
Siku kama hii leo ni siku aliyoaga Mtume Muhammad(s.a.w.w) dunia
Tarehe 28 Safar ni siku ulimwengu uligubikwa na huzuni kuondoka mbora wa viumbe Mtume Muhammad(s.a.w.w), Na kuacha pengo kubwa katika umma wa Kiislam.

2013/01/10  20:30

Viongozi wa Jumuia ya Maendeleo kusini mwa Afrika wakutana Dar es Salaam, kujadili Mgogoro wa Congo
Viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo ya kusini mwa afrika SADC wanakutana jijini Dar es Salaam nchini Tanzania hii leo kwenye mkutano unaotarajiwa kutawaliwa na ajenda kuhusu mgogoro wa mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya kongo DRC na nchi ya Madagascar.

2013/01/10  20:22


         10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani