![]() |
Afrika CNN balozi wa marekani nchini Libya ameuawa CNN: ripoti nyigi zinaahiria kuwa balozi wa marekani nchini Libya pamoja na wafanyakazi wa ubalozi huo wameuawa mjini Benghazi
|
![]() |
Afrika Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza akutana na Rais wa Misri Waziri wa mambo ya nje katika safari yake Cairo alizungumzia kunako nafasi ya uingereza kisiasa na uchumi nchini Misri pia kuangalia magogoro wa Syria
|
![]() |
Afrika Saadiy mtoto wa Gadafi atoroka nchini Niger kukimbilia Afrika ya Kusini Mtoto mmoja wa Gadafi dikteta wa zamani wa Libya(Saadiy) ambaye alikimbilia nchini Niger sasa ametorokea nchini Afrika ya kusini
|
![]() |
Afrika Utawala wa umoja wa waarabu watua wito rasmi kwa Mursiy kuelekea Emirates Rais wa umoja wa waarabu ametuma ujumbe rasmi kumtaka Rais wa jamhuri ya Misri kwenda nchini humo
|
![]() |
Afrika Mahmudi Abasi kuonana na Muhammad Mursiy mjini Cairo Kabla ya adhuhuri ya Alhamisi yaleo Rais Muhammad Mursiy amekutana na Mahmudi Abasi katika ikulu ya nchi hiyo mjini Cairo
|
![]() |
Afrika Mursiy: palestina ni suala letu la awali uma wa kiislamu Rais wa Jamhuri ya Misri amesema katika kikao cha mawaziri wa mambo ya nje ya umoja wa waarabu kuwa serikali yake itaisadia palestina kwa hali yoyote, kwani suala la Palestina ni suala la kwanza katika uma wa kiislamu
|
![]() |
Afrika Mortania yamkabidhi Abdallah Sanusiy kwa Serikali ya Libya Kiongozi wa zamani wa masuala ya habari katika serikali ya Gadafi leo amekabidhiwa kwa serikali mpya ya Libya
|
![]() |
Afrika Mursiy kupewa zawadi ya mwaka kutoka jumuia ya upatanishi wa kimataifa Mkuu wa jumuia ya upatanishi wa kimataifa nchini Amerika ametoa habari yakupewa zawadi ya mwaka ya jumuia hiyo kwa Muhammad mursiy `Rais wa jamhuri ya Misri
|
![]() |
Afrika Watano wauwawa katika kikundi cha Book haram kazkazini mwa mashariki mwa Nigeria Baada ya kulipuka bomu katika mkoa uliopo kaskazini mwa mashariki mwa Nigeria, watu watano wafariki miungoni mwa watega mabomo hayo wanaohusiaka na kikundi cha Book haram
|
![]() |
Shambulizi lingine mjini Mombasa lamuua afisa mmoja wa polisi Shambulizi lingine lililotokea jana usiku mjini Mombasa limesababisha kifo cha ofisa mmoja wa polisi wengine 7 kujeruhiwa, kati yao wanne wamejeruhiwa vibaya. Kamanda wa polisi mjini Mombasa Kipkemboi Rop amesema tukio hilo lilitokea katika mtaa wa Mwembe Tayari, ambapo vijana wawili walilirusha guruneti kutoka kwenye paa la maghorofa dhidi ya gari la polisi waliokuwa wakifanya doria katika mtaa huo, polisi waliwafyatulia risasi vijana hao, na mmoja wao alijeruhiwa vibaya.
|
![]() |
Mgogoro wa Syria utatuliwe bila masharti Makamu wa rais wa Syria Bw Farouq al-Sharaa amesema nchi yake inatafuta utatuzi wa mgogoro nchini humo bila masharti, kwa kufuata mpango wa amani uliotolewa na aliyekuwa mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa wa suala la Syria Kofi Annan.
|
![]() |
Watu kadhaa kuuawa Mombasa Mtu mmoja ameuawa na wawili kujeruhiwa, kufuatia sheikh Aboud Rogo wa Kenya aliyekuwa akitoa mawaidha yenye utata, na ambaye anahusishwa na mashambulizi ya kigaidi kuuwa kwa kupigwa risasi. Sheikh huyo aliyekuwa akikabiliwa na makosa kadhaa yanayohusiana na ugaidi katika mahakama za Mombasa na Nairobi, alipigwa risasi karibu 14 kifuani, karibu na barabara kuu inayounganisha Mombasa na Malindi.
|
![]() |
Tanzania Polisi watumia risasi za moto kukabili maandamano Tanzania Polisi ya Jamhuri ya muugano wa Tanzania imetumia risasi za moto kukabiliana na wafuasi wenye hasira kali wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA katika mji wa Morogoro
|
![]() |
Ziara ya Iran Nchini Syria na kuonana na rais Bashar Al-Asad Mkuu wa kamati ya usalama wa taifa ya Iran Alaeddin Boroujerdi ambaye yupo ziarani nchini Syria, amefanya mazungumzo na rais Bashar al-Assad wa Syria, makamu wake Farouq al-Sharaa na waziri wa mambo ya nje Walid al-Moallem.
|
![]() |
Hatima ya uchumi wa Ulaya ni nini?!! Ugiriki yahaha kuzishawishi nchi zinazotumia sarafu ya Euro Waziri mkuu wa Ugiriki, Antonis Samara anakabiliwa na changamoto kubwa ya kuwashawishi viongozi wa nchi zinazotumia Sarafu ya Euro, juu ya jitihada za nchi yake.
|
![]() |
Sala ya Eid Dar es salam Tanzania waumini wa kiislam wa madhehebu ya shia na sunni leo wamesali
ibada ya sunna ya Eidil fitr kote ulimwenguni.
|
![]() |
Siku ya kimataifa ya Qudsi nchini Sudani Ketengo cha tamaduni cha Iran nchini Sudan kiliadhimisha siku ya kimataifa ya Qudsi katika msikiti wa Shahidi mjini Khartom katika ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
|
![]() |
Mpango wa kumuua Muhammad Mursiy wafichuka Mazishi ya miili ya mashahidi waliowawa katika jangwa la Sinaa yamepelekea kufichuka siri yakuwepo mpango wa kumuua Rais wa Jamhuri ya Misri
|
![]() |
Uchumi Ulaya wazidi kuporomoka Uchumi wa mataifa ya Umoja wa Ulaya yanayotumia sarafu ya Euro umeanguka kwa asilimia 0 nukta 2 kwa kipindi cha miezi miwili kati ya mwezi Aprili hadi Juni mwaka huu.
|
![]() |
Waziri wa Afya atahadharisha kutokea magonjwa baada ya Tetemeko la Ardhi Waziri wa Afya wa Iran alisema: Mahitaji yote muhimu ya kidaktari na huduma ya kwanza katika sehemu ilotokea tetemeko la ardhi hakuna tatizo, na juhudi za kuokoa watu walokuwa chini ya majumba yaloangua zaendelea kwa kasi ya juu, ila tu walopoteza maisha yao katika janga hilo yazidi kuongezeka.
|
![]() |
Tetemeko la Ardhi nchini Iran Takribani zaidi ya watu 120 wamepoteza maisha na zaidi ya 1,500 wamejeruhiwa na matetemeko pacha ya ardhi ambayo yamepiga mkoa wa Tabriz kaskazini magharibi mwa Iran jana Jumamosi.
|
![]() |
afrika Mursiy: Wadhifa wetu kitaifa ni kulipa kisasi cha damu za mashahidi wetu Rais wa jamhuri ya Misri katika safari yake mkoani Arishi sehemu za jangwa la sinaa amesema: kulipa kisasi cha damu za mashahidi walouwawa katika maeneo hayo ni wadhifa wetu wa kitaifa
|
![]() |
Jeshi la Syria kusafisha Kijiji cha Aleppo Wanajeshi watiifu kwa Rais wa Syria Bashar Al Assad wamefanikiwa kuwasambaratisha wapiganaji wa Jeshi Huru la Syria katika Jiji la Aleppo kitu ambacho kimethibitishwa na wanamgambo hao na wamekiri kurudi nyumba kujipanga kabla ya kujibu mashambulizi ya kulipiza kisasi.
|
![]() |
Mkutano unaojadili maendeleo ya Syria kufanyika Iran Iran, ambayo ni mshirika wa karibu wa Syria, imeitisha mkutano utakaojadili hali ya usalama ya Syria. Hatua hii inakuja wakati ambapo majeshi ya rais Bashar al-Assad, yakiendelea na mashambulizi dhidi ya waasi.
|
![]() |
Said Jalily: Mauwaji Syria lazima kusitishwa na kuunga mkoni Waasi ni kushiriki katika jinai Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran: Kutekwa nyara Wairan 48 na waasi wa Nchi ya Syria ni suala lisilo kubalika na Saudia Arabia, Qatar na Uturuki wafahamu kuwa kuunga mkono waasi hao ni kushiriki katika jinai hilo.
|