![]() |
Kuteuliwa Msaidizi mpya wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) amemtangaza rasmi Hujatul Islam walmuslimin Dr.Najaf Lak Za`ayi kuwa ni msaidizi wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) katika kitengo cha tamaduni katika Jumuiya hiyo, Dr. Najaf Lak Za`ayi ni mmoja kati ya wasambazaji wa mafunzo ya Ahlul Bayt(as) Duniani nanimwana harakati katika Taasisi zote alizokua akieneza mafungo ya Mtume(saw) na kuwa mwenyekuhami Madhehebu ya Shia.
|
![]() |
Muamko wa Kiislamu Mfalme wa Saudia Arabia amuengua mshauri wake madarakani Kutokana na upinzani na hitilafu za hapa na lape Mfalme wa Saudia Arabia alichukua uamuzi wa kumuondosha madarakani mshauri wake.
|
![]() |
Mripuko Damaskas kuuwa watu 55 na kujeruhi watu 372 Wizara wa mambo ya ndani ya Syria imetoa ripoti leo asubuhi kuwa zaidi ya watu 427 wamejeruhiwa katika mripuko huo.
|
![]() |
Urusi Dmiry Medvedev achukua uwaziri mkuu ABNA inatuarifu kuwa: aliyekuwa rais wa Urusi Bw:Dmiry Medvedev amechaguliwa kuwa waziri mkuu nchi hiyo.
|
![]() |
Nini kitakacho tokea Barani Ulaya baada ya kuangushwa Sarkozy?! Matokeo ya uchaguzi nchini Ufaransa na Ugiriki yaleta wasiwasi EU Wikiendi iliyopita, Wafaransa wamemchagua rais mpya, na nchini Ugiriki pia ulifanyika uchaguzi wa wabunge ambao ni wa kwanza kufanyika tangu nchi hiyo ikumbwe na msukosuko mkubwa wa madeni. Uchaguzi huo umeleta wasiwasi kwa wanasiasa wa Umoja wa Ulaya na viongozi wa nchi wanachama wa umoja huo kuhusu maendeleo ya kushughulikiwa msukosuko wa madeni.
|
![]() |
Athari za muamko wa Kiislamu Sarkozy kuangushwa chini Chana cha mrengo wa kulia kushindwa uchaguzi wa urais Ufaransa baada ya miaka 17, sababu yake ni kuiga msimamo walokuwa nao Waislamu, kuiga kile kinacho tokea katika Nchi za Kiislamu kama Misri, Libya, Bahrain, Yemen, Tunisia na Saudia Arabia, yote hhayo ni kuonyesha Ulimwengu kuwa Wafaransa nao waweza leta mageuzi na mabadiliko ya Nchi yao.
|
![]() |
Afrika Watu wenyesilaha wavamia jingo la Serikali nchini Libya TV ya Ufaransa imetoa taarifa kuwa watu wenye Silaha wavamia jengo la Serikali nchini Libya katika mji mkuu wa nchi hiyo
|
![]() |
Mashariki yakati Mgombea ubunge auawa Syria ABNA inatuarifu kuwa: Makundi ya waasi wa serikali ya syria wakiwa na siraha wamemvamia mgombea ubunge wa syria na kumuwa
|
![]() |
Iran yaionya Marekani kwa kuweka ndege zake katika Umoja wa Falme za Kiarabu Waziri wa ulinzi wa Iran amesema hatua ya Marekani ya kuziweka ndege za kivita aina ya stealth katika Umoja wa Falme za Kiarabu itavuruga usalama wa eneo.
|
![]() |
Syria Silaha za wapinzani wa Syria zakamatwa Lebanon ABNA inatuarifu kuwa:Serikali ya Lebanoni imekamata meli iliyo kuwa na na siraha ambazo zinasadikiwa zilikuwa zinaelekea kwenye kambi ya wapinzani wa serikali ya Syria.
|
![]() |
Iran Mwenye kutenganisha Falsafa na dini anamtazamo finyu Ayatollah Misbah:nimatazamo finyu ulioje kwa mtu atakayedai kuwa falsafa na dini hazina uhusiano
|
![]() |
Afrika Wagombea 13 wapitishwa katika mchujo wa mwisho wa wagombea kiti cha urais nchini Misri Tume ya uchaguzi nchini Misri imeanisha orodha ya wagombea urais nchini humo, baada ya wananchi kuandamana kupinga kuwepo jina la Ahmadi Shafiqi kati ya wagombea wa kinyan'ganyiro hicho cha urais.
|
![]() |
Afrika Milipuko yatokea katika Mahakama ya Binghazi nchini Libya Mkuu wa ulinzi nchini Libya amesema:Milipuko hiyo imetokea katika Mahakama iliopo mjini Binghazi Mashariki mwa Libya.
|
![]() |
Mashariki ya kati Iran kuzindua silaha mpya ya kisasa hivi karibuni ABNA inatuarifu kuwa: Jeshi la ulinzi wa jamhuri ya kiislam ya Iran limesema kuwa linauwezo mkubwa wa kijeshi wa kulinda nchi yake, na kuahidi kuwa muda si mrefu watazindua silaha ya kijeshi yanye uwezo wa kwenda mwendo wa kasi wa mita 100 kwa sekunde.
|
![]() |
Siku za Maombolezo Maombolezo ya Shahada ya Fatima Zahra katika Husainia ya Imam Khomein+Picha Maombolezo ya shahada ya Fatima Zahra katika Husainia ya Imam Khomein kuhudhuriwa na Kuongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran.
|
![]() |
Muamko wa Kiislamu Vikwazo dhidi ya utawala haramu wa Israel Utawala wa Misri umeamua kukata 40% ya matumizi ya Gesi ya utawala haramu wa Israel ambayo hapo kabla Husni Mubarak alikuwa akiwapa wa Israel bure.
|
![]() |
Mporomoko wa kiuchumi Ulaya kumkumba Nicolas Sarkozy Francois Hollande na Nicolas Sarkozy kupambana kwenye duru ya pili ya uchaguzi Duru ya kwanza ya uchaguzi nchini Ufaransa imemalizika ambapo mgombea urais kupitia chama cha kisocialist Francois Hollande ameibuka mshindi kwenye awamu hii ya kwanza kwa kujipatia asilimia 28,63% na kumshinda rais wa sasa wa nchi hiyo Nicolas Sarkozy kwa asilimia 1,55% ambae alipata asilimia 27,08%.
|
![]() |
Uchaguzi wa Rais wa Ufaransa kuanza leo Jumapili katika duru la kwanza la uchaguzi wa rais ambao unaweza kushuhudia mwisho wa muhula wa uongozi wa rais wa nchi hiyo Nicolas Sarkozy.
|
![]() |
Muamko wa Kiislamu Maelfu waandamana dhidi ya mashindano ya Formula 1 Bahrain Maelfu ya Wabahrain wameandamana katika kijiji kichokua karibu na mji mkuu wa Bahrain, Manama jana jioni kwenye uwanja unaofanyika mashindano ya magari ya Formula One.
|
![]() |
Baraza la Usalama kupitisha azimio juu ya Syria kwa kauli moja Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelipitisha kwa kauli moja azimio juu ya kuongeza idadi ya waangilizi wake nchini Syria hadi kufikia mia tatu. Kwa sasa Umoja wa Mataifa unao waangalizi 30 wanaosimamia utekelezaji wa hatua ya kusimamisha mapigano nchini humo.
|
![]() |
Afrika Omar Al-Bashir atangaza vita rasmi na Sudan Kusini Baada ya kuasisiwa Sudan kusini kwa himaya ya nguvu za kimagharibi, Sudan Kusini imeazisha choko choko dhidi ya Sudan(Sudan kaskazini) kunako sehemu yenye mafuta iliokuwa ikimilikiwa na Sudan toka kutengana baina yao, ambapo hivisasa Sudan ya kusini yadai sehemu hiyo ni yakake, ambapo Rais wa Sudan Omar Al-Bashir atangaza vita rasmi dhidi ya Sudan Kusini.
|
![]() |
Mhusika nani?!! Watu 50 wafariki na kujeruhiwa kadhaa katika mripuko huko Baghdad Vyombo vya usalama vya Nchi ya Iraq vimeeleza kuwa sehemu za wakazi walokuwa wengi Mashia kumetokea mripuko na kusababisha watu 50 kufariki na 22 kujeruhiwa katika uvamizi wa kigaidi.
|
![]() |
Kuondokewa na kiungo muhimu Arubaini ya Sheikh Abdullah Dahduh Baada ya mauaji ya kinyama ya wanaodai kuwa Waislamu, siku arubaini za huzuni zapita huku macho ya Waumini yatiririka machozi kwa kuondokewa na Mwanazuoni huyo, hitima na Dua ya arubaini ilihudhuriwa Wanazuoni tofauti wakiwemo pia Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Al Mustafa International University.
|
![]() |
Athari za mporomoko wa kiuchumi Ulaya Sarkozy apewa nafasi ndogo ya kushinda uchaguzi Maoni ya wapiga kura yanaonyesha kwamba Rais Nicolas Sarkozy wa nchi hiyo atapata kura chache kuliko mpinzani wake Francois Hollande katika duru ya kwanza ya uchaguzi.
|
![]() |
Muamko wa Kiislamu Umoja wa nchi za Kiarabu kuzuru Syria Wanachama wa Umoja wa Nchi za Kiarabu pamoja na Mpatanishi wa Kimataifa wa Mgogoro wa Syria Kofi Annan wamekutana na kwa kauli moja wameitaka serikali ya Damascus kutekeleza mapendekezo ya kusitisha mapigano wanayodaia bado haijatekelezwa.
|