![]() |
Muamko wa Kiislamu Mauaji ya kinyama kuendelea Bahrain Utawala wa Kifalme bado waendelea na opresheni zake za kukandamiza Wananchi, kwa vitendo hivyo alifariki Mama mmoja kwa athari ya Gesi ya sumu inayotumiwa na Polisi wa Nchi hiyo.
|
![]() |
afrika Lengo langu ni kutumika Sheria za kiislamu nchini Misri Mgombea wa chama cha Ikhwanul Muslimina nchini Misri baada ya kujiandikisha kugombea Uraisi wa nchi hiyo amesisitiza kuwa lengo lake asili ni kutumika kanuni za uislamu katika nchi hiyo.
|
![]() |
Siku ya huzuni, kuondoka kipenzi cha Mtume(saw) Terehe 13 Jamadil U`ula ni siku ya Shahada ya Fatimah Zahra kipenzi cha Mtume(saw) kulingana na baadhi za Riwaya, siku hii ni siku ilojaa huzuni kwa kuondoka Duniani kipenzi cha Mtume(saw) kwa kuvamiwa katika nyumba yake, kutokana na maudhi ya hapa na pale kipenzi cha Mtume(saw)aliaga Dunia mnamo siku kama hii ya leo.
|
![]() |
Ayatullah Sayyid Ali Khamenei: Vitisho vya maadui ni kuonyesha nguvu za Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran Wairani wanauzowefu na fahari inaowafanya kujigamba Ulimwenguni kwa mapinduzi ya Kiislamu na kupigana miaka 8 na Nchi zaidi 5 zikiongozwa na Marekani.
|
![]() |
Muamko wa Kiislamu Kuendelea kushikwa watu wasokua na hatia nchini Saudi Arabia Katika kuendelea kushika watu wasokua na hatia Nchini Saudia Arabia mnamo siku ya Jumapili walishikwa watu wa 3 Nchini humo bila kosa lolote lile.
|
![]() |
Fitina za Saudia Arabia Saudi Arabia kusisitiza kuagiza Silaha Syria Saudia Arabia yaendelea kuilazisha Nchi ya Jordan ikubali kuagiza Silaha Syria ili yasisimame mauaji ya watu wasokuwa na hatia Nchini humo
|
![]() |
Muamko wa Kiislamu Watu 2 wengine kuuawa nchini Bahrain Wananchi wa 2 wameuawa nchini Bahrain, mmoja kati ya hao ni (Hadj Husein Majid Hasan Al Majid)mwenye umri wa miaka 70 na mwengine (Ahmad Isamil Hasan)mwenye umri wa 22, na mauaji hayo yameongeza idadi ya walouawa nchini Bahrain kufikia 82.
|
![]() |
Ulaya Miongo mitatu yatimia tangu Uingereza kuivamia Falkland ABNA inatuhabarishwa kuwa: Miongo mitatu imetimia tangu Uingereza kuvamia visiwa vya Falklands, kwa madai kulidhibiti jeshi la Argentina lililotwaa eneo hilo.
|
![]() |
Senegal yapata rais mpya ABNA inatutaafifu kuwa:Wananchi wa Senegal wameopata rais mpya, ambaye ameapishwa wiki moja baada ya matokeo ya uchaguzi kutolewa.
|
![]() |
Afrika Mubaraka yu maututi Vyombo vya habari vya Misri vimetangaza hali mabaya ya Raisi wa zamani wa nchi hiyo (Husni Mubaraka) na kuwa yuko katika hali ya umaututi.
|
![]() |
Mawahabi si Mawakili wa Uislamu Ujumbe wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) kuhusu fatwa batili ya Mwanazuoni wa Kiwahabi Abdulaziz A`ali Sheykh Mwanazuoni wa Kiwahabi ametoa Fatwa ya
kujuzisha kuharibu na kubomoa Makanisa , kwa madai kuwa Wakristo
ndiyo sababu ya kudhalilishwa dini Tukufu ya Uislamu na wao si katika
Dini Ibrahimiyah,kwa minajili hii Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) imetoa Ujumbe
mkali kukosoa Fatwa hiyo ya mufti wa kiwahabi isokuwa na mashiko, na
kueleza Ulimwengu kuwa utawala wa kidikteta wa Saudia Arabia sio
watetezi wa uislamu wala haki za Binadamu.
|
![]() |
Mashariki ya kati Medvedev :Ujumbe wa Annan yamkini ukawa ni utatuzi wa ghasia za Siria Rais wa Urusi Bw: Dmitri Medvedev amesema kuwa:ujumbe wa umoja wa mataifa kupitia katibu mkuu wa zamani wa umoja huo Bw: Koff Annan yamkini ukawa ni utatuzi wa ghasia hizo za siria.
|
![]() |
Fitina za Mayahudi na Marekani Watetezi wa haki za binadamu wakiri kuwa wapinzani ndio waharibifu Syria Mashuhuda na watetezi wa haki za binadamu wamekiri kuwa wapinzani ndio wanaochafua Nchi hiyo kwa kuuwa watu na kubebesha mzigo huo Serikali ya Syria kuwa ndio wauaji. Ripoti ya shirika la habari la Ahlul
|
![]() |
Muamko wa Kiislamu Kijana wa miaka 31 auawa kishahidi Bahrain Mkazi mmoja wa Bahrain alifariki kwa athari ya Gesi ya simu inayotumiwa na vikosi vya usalama vya Alikhalifa katika makazi ya watu Nchini humo.
|
![]() |
Muamko wa Kiislamu Mauaji ya raia yaendelea Bahrain Leo asubuhi ameuawa Mama mmoja wa Bahrain baada ya kushiriki katika maandamano, uchunguzi umeeleza kuwa sababu ya kifo chake ni Gesi ya sumu inayotumiwa na Polisi Nchini humo.
|
![]() |
Serikali ya Mali yapinduliwa Watu wenye silaha nchini Mali wametangaza kuimiliki ikulu na kuipindua Serikali ya nchi hiyo.
|
![]() |
Wamisri wahitaji kutungwa katiba ya kimapinduzi na misingi ya kiislamu Kutokana na makubaliano nchini Misri, kunahitajika kuwa na katiba inayoendana na jamii na msingi wa katiba hiyo ni sheria za kiislamu.
|
![]() |
Asia Korea Kusini yalaani mpango wa Korea Kaskazini wa kutuma satilaiti ABNA inatuarifu kuwa:Korea Kusini imelaani tena mpango wa Korea Kaskazini wa kurusha satilaiti na kusema hatua hiyo ni uchokozi wa dhahiri kabisa.
|
![]() |
Mkuu wa idara ya ulinzi na mawasiliano katika utawala wa Gaddafi akamatwa nchini Moritania Viongozi wa ulinzi nchini Moritania yatangaza kumkamata mkuu wa idara ya ulinzi na mawasiliano wa utawala wa Dikteta wa zamani wa Libya(Gaddafi)katika uanja wa ndege wa nchi hiyo.
|
![]() |
Msisitizo wa Tunis, Libya na Misri kunako utatuzi wa machafuko ya syria mawaziri wa mambo ya nje ya Tunis, Libya na Misri katika kikao cha pamoja baina ya nchi hizo nchini Tunis, wamesisitiza utatuzi wa machafuko ya Syria chini ya uangalizi wa umoja wa waarabu, na kutoafiki kwao nchi za nje kuingilia masuala ya Syria.
|
![]() |
Mahakama ya Hague yamtia hatiani Thomas Lubanga. ABNA inatuhabarisha kuwa:Mahakama inayo shughurikia makosa ya ukiukwaji wa haki za binadamu iliyopo jijini Hague imemkuta na hataia aliyekuwa kiongozi wa Union of Congolese Patriots UPC Thomas Lubanga kwa kuwatumia vijana wadogo chini ya miaka 15 kama wanajeshi katika kundi lake.
|
![]() |
Mlipuko ikulu ya Somalia waua watu watatu TV ya ufarana imetangaza kutokea mlipuko katika Ikulu ya raisi wa jamhuri ya Somalia katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadiho ambapo kwa uchacje watu watatu wameuawa katika tukio hilo
|
![]() |
Siri ya Muamar Gaddafi na Nicolas Sarkoozy yafichuka ABNA inatuarifu kuwa: Shirika moja la uchunguzi wa maswala ya siasa limetoa habari kuwa aliyekuwa rais wa Libya Muaamar Gaddafi alichangia pesa kusaidia kampeni za uchaguzi wa Sarkoozy rais wa Ufaransa.
|
![]() |
Siruhusa Fungamano na wazayuni nchini Tunis Kipengele kimoja cha katiba mpya ya Tunis kinapinga muamala wotewote na wazayuni nchini Tunis.
|
![]() |
Imam wa Ijumaa kuuawa Bruksel Ujumbe wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) kwa kuuawa Sheikh Abdullah Dahduh. Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) imesisitiza kwa mambo ya kinyama yanayofanywa na Nchia za Ulaya ili kuzagaza fitina baina ya Waislam hasa Waislamu wanaoishi Nchi za Ulaya, suala la kuleta fitina baina ya Waislamu halikubaliwi na wafasi wa Ahlul Bayt(as) na watasimama kiukamilifu dhidi ya videndo vya kinyama.
|