Mwanzo    Nyumbani    Links   Kurasa ya kijani    Tafuta  



Habari Muhimu
- Habari Muhimu



Uwahabi ni hatari kwa jamii
Picha ya mweili wa Hujri Ibn Adiy
Ripoti ya shirika la bagari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Tovuti ya Alghauta Alsharqia ambayo ni ya waasi wa Syria ilisambaza picha ambayo yadaiwa kuwa ni Sahaba wa Mtume(saw) Hujri Ibn Adiy akionyesha kuwa mwili wake kuwa msiza bila kuoza, na picha hiyo ni pale tu walipofukuwa kaburi la Sahaba mtukufu wa mtume(saw) siku ya Alkhamis alopita.

2013/05/08  04:22

afrika
Bomu lalipoka kanisani jijini Arusha
Vyanzo vya habari makini vinanukuu kutokea kwa mlipuko wa bomu jijini Arusha siku ya jumapili katika sherehe za ufunguzi wa kanisa katoliki mjini humo, ambapo mgeni rasmi katika ufunguzi huo alikuwa mwakilishi wa papa nchini Tanzania

2013/05/07  08:36

Mashariki yakati
Maulmaa wote washirikiane kuzuia matendo yanayofanywa na makundi maovu
Rais wa baraza la kimataifa linahusiana umoja wa madhehebu ya kiislamu amesisitiza kuwa kuvunjiwa heshima matukufu ya kiislamu na harakati zinazokwendfa dhidi ya uislamu vitasababisha fitna kubwa katika ulimwengu wa kiislamu.

2013/05/05  08:47

Mafumbo ya Imamu wa sala ya Jamaa nchini Misri kwa Muhammad Mursiy
Imamu wa sala jamaa katika msikiti wa (Amru Mukaram) amewataka viongozi wa kisiasa kuwa chombo cha sheria cha nchi hiyo waelekeze nguvu zao zote katika harakati za kisiasa, ili wananchi wasipoteze kukiamini chombo hicho, kwasababu kama jeshi na chombo cha sheria vikianguka Serikali ya Misri nayo itaanguka

2013/05/05  00:46

Kaburi la swahaba wa Mtume(s.a.w.w) na Ally (a.s) lafukuliwa
Magaidi wa Syria waharibu na kufukua kaburi la Hijri (swahaba wa Mtume) ambaye aliuwawa katika utawala wa Muawia kati ya mwaka 51 au 53

2013/05/04  07:09

Mgogoro wa Syria
Mjumbe wa UN Lakhdar Brahimi kubwaga manyanga usuluhishi wa mgogoro wa Syria
Mpatanishi wa mgogoro wa Syria nchini ya Umoja wa Mataifa UN, Lakhdar Brahimi anatarajia kujiuzulu kufuatia kuwepo kwa mvutano miongoni mwa Jumuia ya kimataifa katika jitihada za kumaliza machafuko ya Syria.Brahimi aliyechukua nafasi ya Kiongozi wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Koffi Annan mwezi Agosti mwaka jana anataka kujiuzulu, hata hivyo ameshawishiwa kusubiri kwa siku kadhaa.

2013/05/03  11:54

Mgogoro wa Syria
Al-Nasra, jibu ni kumtenda vibaya mtowa ripoti mahiri wa Aljazeera
Mwandishi wa habari wa Televisheni ya Aljazeera ambaye miezi kadhaa alikuwa akitowa ripoti dhidi ya serikali ya Syria na kuwa na uhusiano mzuri na vikundi vya Waasi wa nchi hiyo baada ya kutendewa kitendo kibaya cha kubakwa alipelekwa haraka Qatar baada ya kuwa taabani.

2013/04/30  07:59

Wanawake Saudia
Tangazo la kuvutia kuhusu Wanawake Saudi Arabia+picha
Vitendo vibaya dhidi ya Wanawake Saudi Arabia, tangazo maalum la kuonyesha nini wafanyiwa Wanawake Saudia na lengo la tangazo hilo ni kuonyesha yanayojiri kificho nchini humo.

2013/04/30  06:56

Mgogoro wa Syria
Silaha za kemikali zilitumika Syria
Taarifa kutoka ikulu ya Rais ya white house kuwa kulitumika silaha za kemikali Syria kulizua miito kutoka kwa baadhi ya wabunge Marekani kuwa utawala wa Obama unastahili sasa kuchukua hatua za kijeshi jambo ambalo Rais Obama amekuwa akiepuka kufanya.

2013/04/26  23:50

Mashariki yakati
Drone ya Hizbollah yahujumiwa na jeshi la Israel
Jeshi la utawala dhalimu wa Israel limetangaza kudungua ndege ya wanaharati wa jeshi la Hibollah iliyokuwa ikichukua taarifa za Israel.ndege hiyo imedunguliwa kwa kutumia ndege za kivita za mwendo kasi za Jet F-16

2013/04/25  23:52

Mashariki ya kati
Kuishambulia Iran ndio litakuwa kosa la mwisho kufanywa na Israel
waziri wa ulinzi wa jamhuri ya kiislam ya Iran amesema kuwa: ikiwa Israel itafanya kosa kuishambulia Iran basi ndio litakuwa kosa lake la mwisho

2013/04/24  23:22

Rais Bashar Al-Asad
Hali ya Syria kuwa shwari
Hali kwenye medani ya vita nchini Syira yawa nzuri na Syria yapinga nguvu kutoka nje kuingilia kati ya mambo ya ndani ya Syria

2013/04/22  22:24

China na Marekani
Taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Marekani
Ofisi ya habari ya serikali ya China imetoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Marekani mwaka 2012, ikiwa ni majibu ya taarifa kama hiyo iliyotolewa hivi karibuni na Marekani ambayo imepotosha ukweli na kuishutumu China kuhusu hali ya haki za binadamu nchini humo.

2013/04/22  22:18

Afrika
Waziri wa Algeria avivunjia heshima vitukufu vya uislamu
Maneno mazito ya kusismua ya waziri wa tamaduni nchini Algeria katika kuvivunjia heshima vitukufu vya uilamu imepelekea kuchukiwa na wananchi wan chi hiyo

2013/04/19  01:13

Afrika
Tanzania kutuma jeshi lake Congo
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeazimia kupeleka vikosi vya Jeshi lake JWTZ nchini Congo kwa minaajili ya kulinda amani

2013/04/16  14:36

Siku ya huzuni
Ripoti ya picha/Maombolezo ya shahada ya Fatima Zahra(AS) Qum
Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(AS)-ABNA- Haram ya Fatima Maasuma(AS) imeshuhudiwa na wapenzi wa Mtoto wa Mtume(SAW) kuhudhuru katika maombolezo ya kifo chake. Ally Larejani mkuu wa bunge la Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran alihudhuria katika maombolezo hayo na Ayatullah Wahid Khurasani na Ayatullah Safi Golpaigani wakielea Haram ya Fatima Maasuma(AS).

2013/04/14  18:19

Siku ya huzuni
Shahada ya Fatima Zahra(AS)
Tukio la kuchomwa moto nyumba ya sayyidat fatima (a.s) na ambalo ndio lililokuwa chanzo cha kifo chake cha kishahidi.

2013/04/13  22:13

Afrika
Kwa mara ya kwanza mali za familia ya Ibun Aliy zarejeshwa katika hazina ya taifa la Tunis
Mali zilizokuwa zimeibwa katika serikali ya Tunis katika kipindi cha dikteta IbunAlly kupitia familia yake zarejeshwa katika sanduku la taifa la Tunis, zikiwa ni mali za kwanza kurejeshwa baada ya utawala wake

2013/04/12  22:45

Afrika
Televishen ya taifa ya Misri itaonyesha moja kwa moja hukumu mpya ya Mubarak
Vyanzo vya habari vya Misri vyaeleza kuwa Televishen ya taifa nchini Misri itaonyesha hukumu mpya ya Mubarak moja kwa moja katika nchi hiyo hukumu ambavyo itafanyika siku ya jumamosi

2013/04/12  22:03

Afrika
Libya; kamwe hatutatoa ruhusa kuwepo majeshi ya nje katika nchi yetu
Serikali ya Libya imeisitiza kuwa daima haitatoa ruhusa kwa majeshi ya nje kuwepo katika nchi hiyo kwa kusingizia kulinda amani

2013/04/12  19:11

Habari za kufariki Abdilhadi Alfadhli
Ujumbe wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) kuaga dunia Abdulhadi Alfadhli
Kuondoka na kuaga dunia Ayatullah Allama Abdulhadi Alfadhli Jumuiya ya Kimaifa ya Ahlul Bayt(as) ilitowa ujumbe wake; Shakhsia ya mwanazuoni huyu na utunzi wake wa Vitabu mbalimbali katika maudhui tofauti ni moja katika kuathiri mwanazuoni huyu katika Uislamu.

2013/04/09  12:56

Afrika
Safari za kitalii za wairan chini Misri zasitishwa
Wizara ya utalii nchini Misri yatangaza kusitisha kuingia watalii wa kiiran nchini humo

2013/04/08  23:15

Ripoti maalum
Picha za Shahid Hasan Shatiri katika vita
Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Picha ambazo zilizokuwa baso hazijashuhudiwa za Mwanamapinduzi Shahid Hasan Shatiri, Picha hizi ni kumbukumbu ya miaka minane ya vita na Iraq, Shahid alichangia zaidi katika uchoraji ramani na kupalani njia tofauti katika vita. Shahid baada ya vita alisafiri Afghanistani kupangilia baadhi ya mambo na hatimae kwenda Lebanon kwa ajili ya kurekebisha majengo baada ya vita siku 33 ya Israel na Hizbullah kusini mwa Lebanon, yeye alikuwa akihusika na kazi za uhandisi wa majengo yaloharibiwa na Israel, na katika msafara wake wa kutoka Damaskas kuelekea Bairut aliripuliwa na vibaraka wa Israel.

2013/04/08  20:02

Afrika
Mahakama ya Misri Kuchunguza tuhuma dhidi ya Mursiy
Mahakama ya Misri imetoa hukumu ya kuchunguzwa faili la mashtaka dhidi ya Rais wa jamhuri ya Misri ambaye ni kutoka katika kikundi cha wenye fikra za kiislamu

2013/04/08  18:58

Mashariki yakati
Mazungumzo kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran
Suala la nyuklia ya Iran limerejeshwa tena kwenye meza ya majadiliano ili kujadili hatima ya mpango huo na hatima yake.

2013/04/06  19:22


         10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  
ABNA World Service
Englishالعربية
Françaisاردو
Españolفارسی
Русский中文
DeutschTürkçe
Azeri (cyr) Azeri (ltin)
Melayu Indonesia
বাংলা हिन्दी
Swahili Myanmar
BosanskiABP sites
  Habari za Zamani