![]() |
Mazungumzo ya kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na Jeshi la Anga la Iran Baadhi ya maneno katika hotuba ya kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu alisisitiza kwa kusema: “Mimi si mwanadiplomasia bali ni mwanamapinduzi, na kwa sababu hiyo ninasema waziwazi, kwa ukweli na kwa msimamo imara kwamba, mazungumzo yatakuwa na maana pale upande wa pili utakapoonesha nia njema.”
|
![]() |
Kuachiwa huru Wairan 48 walotekwa nyara na Waasi wa Syria Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Wairan 48 walotekwa nyara na Waasi wa Syria kuachiwa huru, Wairan hao walitekwa nyara baada ya kua wamekamilisha ziara yao kwa Bibi Zainab(as) huku wakielekea Uanja wa Ndege wa Dumascus, Watekwaji nyara hao walipolewa kwa shangwe na vigeregere katika Hoteli ya Sheraton mji Mkuu wa Syria Dumascus.
|
![]() |
Habari za kunaswa Scan Eagle Picha za kwanza za Scan Eagle baada ya kunaswa katika anga la Iran |
![]() |
Nchi za Kiarabu kushinikiza kutowa silaha kwa Magaidi na Waasi wa Syria |
![]() |
Syria kusafisha ugaidi |
![]() |
Marekebisho ya Haram ya Kadhimain |
![]() |
Kuhudhuria Ayatullah Sayyid Ali Khamenei katika uchaguzi wa Bunge+Picha Ayatullah Sayyid Ali Khameni kuhudhuria katika uchaguzi wa 9 wa Bunge la Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran, akipiga kura katika Husainiah ya Imam Khomeini sanduku namba 110.
|
![]() |
Swala ya Ijumaa Tehran kuongozwa na Ayatullah Khamenei+ Picha |
![]() |
Mapenzi ya Vijana kwa Ayatullah Khamenei Vijana wamapinduzi kuonyesha mapenzi yao kwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Iran Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
|
![]() |
Shahada ya Imam Riza(as) Jamuhuri ya Kiislamu kua katika huzuni na kuomboleza kifo na shahada ya mjukuu wa Mtume(saw), pia kuiaga Dunia Mtume(saw) katika mwezi wa Safar.
|
![]() |
Ugaidi wa Israeli na Marekani Mataalamu wa nyuklia wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran kufa Shahidi Hizi ni picha baada ya mlipuko wa bomu alipoaga Dunia mtaalamu wa nyuklia wa Iran na kufa kishahidi.
|
![]() |
Kikao cha Viongozi wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) na Ayatullah Madhahiriy. |
![]() |
Maendeleo ya tovuti ya ABNA Kikao cha kujadili Maendeleo ya tovuti ya Abna |
![]() |
Habari za Picha Kikao cha kujadili Filamu ya Sibtain(Hasan na Husain) |
![]() |
Palestina Mkutano wa kimataifa wa kuunga mkono intifadha ya Palestina |
![]() |
Muamko wa Kiislamu Kikao Cha kwanza cha Kimataifa cha Muamko wa Kiislamu |
![]() |
Kikao cha Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(a.s) Kongamano la 5 la jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(a.s) |
![]() |
Sikukuu Swala ya Idil Fitr Swala ya idi katika Sehemu mbalimbali za Dunia
|
![]() |
Siku ya Quds Bangkok Thailand |
![]() |
Marasim ya Shahada ya Imam Aliy(a.s) katika Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran |
![]() |
Usiku wa Lailatul Qadr |
![]() |
SIKU YA MAB 'ATH |